Fatma Karume na Deni lake kwa Musiba itakuaje?, Ukiona mwenzio ananyolewa....

Unamaanisha hiyo mauti ni kazi ya Musiba, au?
 
Deni ni deni tu, bado Musiba ana deni kwa familia ya marehemu. Kwahiyo punguzeni furaha zenu Membe kaondoka ila deni lipo pale pale, wana familia wa marehemu wanataka urithi wao!!!!!
Wewe nyau.... Deni halilipwi. Mimi ndio nakuambi sasa. Na ukikomaa kichwa tusije laumiana hapo baadaye
 
Musiba sio Kachero 😊... huo uchizi wako usikufanye uropoke vitu vya hovyohovyo.

Hakuna wa kumuondoa Membe kizembe... siku imefika, na kama kuna namna basi wajiandae. Au mlimvizia mshkaji wake aende Korea ndo mufanye ushetani wenu?! Ila jueni kwamba Membe ana watu!
 
Kuna watu sijui wanatumiaje akili zao kwenye kuwaza. Musiba zile hela atazilipa tu na yeye wala yeyote yule hana cha kufanya kwenye uhai wa mtu.
Hao mbwa ndio wali injinia kifo cha mwamba wetu wa Chato!
.
Ngoja yafe tu
 
Hakuna lolote. Ndo ashagongwa bado wengine ambao wataleta fyoko fyoko.
 
Hakuna kitu ukijua mbele watu wanajua nyuma....πŸ€’πŸ€’
 
Mleta mada anadai watu wasamehe ila si ajabu yeye akikuta kibaka anapigwa nae atampiga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…