Watu kama wewe ndio inawezekana mnaua kwa sababu ya siasa!Wananchi wote tuna haki sawa za kulindwa. Yeye alindwe zaidi kama nani? Familia yake ni raia wa nchi ya kigeni, kwa nini tupoteze raslimali zetu kutoa special treatment kwa raia wa mataifa ya kigeni badala ya kulinda raia wetu? Waende kwenye nchi yao wakalindwe huko.
Aliyetaka kumuua Tundu Lissu katangulia mbele za haki kamuacha Lissu anaendelea kula ugali. Atakayejaribu kumuua safari hii, naye atatangulia vilevile. Mungu hadhihakiwi.Fatma Karume amezungumza na Wakili TV na kufafanua mambo kadhaa ikiwemo kuhusu hali ya demokrasia nchini, siasa ya Tanzania na kurejea kwa Tundu Lissu. Huyu hapa anafafanua:
Nikiwa kama Rais mstaafu wa TLS nimefurahi sana kusikia Tundu Lissu anarudi Nchini Tanzania kwa sababu mazingira aliyoondokea hayakuwa ya kuridhisha, yalikuwa mabaya sana.
Hatuwezi kukubali mtu apigwe risasi kama vile kwa sababu ya siasa, haikubaliki kwenye Nchi yoyote inayopenda amani na demokrasia.
Nawaomba Serikali watazame hili suala, kwani waliofanya hicho kitendo cha kihalifu hawajakamatwa, ilikuwa ni kosa la jinai la kujaribu kufanya mauaji.
Serikali imekaa kimya, ni muhimu sana wale watu wakamatwe, kama inashindikana kukamatwa basi Tundu Lissu apewe ulinzi, yeye mwenyewe, familia yake wasipitie yale aliyopitia Septemba 7, 2017.
Baada ya Lissu kupigwa risasi, Watanzania tulipata mshtuko mkubwa sana, tulipitia katika kipindi cha traumatic period.
Niwaambie Watanzania wenzangu, kuwa hakuna jambo baya kukaa kimya ukiona uovu, ni jambo baya sana, tumia chochote ilichokuwa nacho kuonesha haujafurahishwa, tumia hata uso wako au sauti yako kuonesha hivyo.
Kukaa kimya na kupiga makofi huku mambo maovu yakitendeka ni kuungana na huo uovu, tusifanye hiyo tabia na tuiache.
Kuhusu ukimbizi wa kisiasa inasikitisha kuna watu walikimbia Tanzania kutokana na mambo ya kisiasa, siasa si ugomvi, siasa ni haki ya kutazama namna nyingine ya kuendesha Nchi, ni haki ya kila mwananchi kufanya siasa.
Kuwa na Wakimbizi wa kisiasa Tanzania ni aibu sana, niwakumbushe hasa CCM hawa wakimbizi wa kisiasa wametokea wakati wa CCM, tumepata wakimbizi wengi tu zaidi ya Lissu na watu kama kina Lema.
Pemba kuna watu walikimbia kwa sababu ya kisiasa, tuache huu ugomvi, tuishi kama binadamu, Tanzania ni kubwa sana, tupo watu Milioni 62, kuna nafasi sote kuishu humu ndani kwa amani.
Japokuwa hatuwezi kubaliana kwa mawazo lakini sote ni Watanzania, tupendane.
Kuhusu Demokrasia Nchini kwetu, tunakwenda hatua mbili mbele tunarudi tatu nyuma, tunakwenda tano tunarudi nne, tupo kwenye transitional democracy.
Tunatakiwa kutoka huko tuingie kwenye Demokrasia, kwa sabababu bado tupo kwenye transitional democracy, hatuwezi kuingia huko bila kubadilisha Katiba.
Lazima tutazama mfumo wetu wa kisheria na Katiba ili tuingie kwenye demokrasia inayoweza stahili na siyo mtu kuingia kwenye madaraka mkukimkuki.
Nchini Tanzania ukiwa Mwana Siasa haswa wa chama cha Upinzani haupo kwenye amani kabisa. Kwani Maisha yako yatakuwa yapo hatarini wakati wowote. Bado Nchini mwetu Tanzania hatuna Demokrasia ya ukweli itachukuwa miaka mingi ili tufike kwenye Demokrasia ya ukweli. Tusitarajie miaka ya hivi karibuni hali haito badilika kisiasa.Kwani walio madarakani sio rahisi kuachia uongozi wapo teyari watoe roho za mtu au watu ili wapate kutawala kwa nguvu kwenye madaraka.Fatma Karume amezungumza na Wakili TV na kufafanua mambo kadhaa ikiwemo kuhusu hali ya demokrasia nchini, siasa ya Tanzania na kurejea kwa Tundu Lissu. Huyu hapa anafafanua:
Nikiwa kama Rais mstaafu wa TLS nimefurahi sana kusikia Tundu Lissu anarudi Nchini Tanzania kwa sababu mazingira aliyoondokea hayakuwa ya kuridhisha, yalikuwa mabaya sana.
Hatuwezi kukubali mtu apigwe risasi kama vile kwa sababu ya siasa, haikubaliki kwenye Nchi yoyote inayopenda amani na demokrasia.
Nawaomba Serikali watazame hili suala, kwani waliofanya hicho kitendo cha kihalifu hawajakamatwa, ilikuwa ni kosa la jinai la kujaribu kufanya mauaji.
Serikali imekaa kimya, ni muhimu sana wale watu wakamatwe, kama inashindikana kukamatwa basi Tundu Lissu apewe ulinzi, yeye mwenyewe, familia yake wasipitie yale aliyopitia Septemba 7, 2017.
Baada ya Lissu kupigwa risasi, Watanzania tulipata mshtuko mkubwa sana, tulipitia katika kipindi cha traumatic period.
Niwaambie Watanzania wenzangu, kuwa hakuna jambo baya kukaa kimya ukiona uovu, ni jambo baya sana, tumia chochote ilichokuwa nacho kuonesha haujafurahishwa, tumia hata uso wako au sauti yako kuonesha hivyo.
Kukaa kimya na kupiga makofi huku mambo maovu yakitendeka ni kuungana na huo uovu, tusifanye hiyo tabia na tuiache.
Kuhusu ukimbizi wa kisiasa inasikitisha kuna watu walikimbia Tanzania kutokana na mambo ya kisiasa, siasa si ugomvi, siasa ni haki ya kutazama namna nyingine ya kuendesha Nchi, ni haki ya kila mwananchi kufanya siasa.
Kuwa na Wakimbizi wa kisiasa Tanzania ni aibu sana, niwakumbushe hasa CCM hawa wakimbizi wa kisiasa wametokea wakati wa CCM, tumepata wakimbizi wengi tu zaidi ya Lissu na watu kama kina Lema.
Pemba kuna watu walikimbia kwa sababu ya kisiasa, tuache huu ugomvi, tuishi kama binadamu, Tanzania ni kubwa sana, tupo watu Milioni 62, kuna nafasi sote kuishu humu ndani kwa amani.
Japokuwa hatuwezi kubaliana kwa mawazo lakini sote ni Watanzania, tupendane.
Kuhusu Demokrasia Nchini kwetu, tunakwenda hatua mbili mbele tunarudi tatu nyuma, tunakwenda tano tunarudi nne, tupo kwenye transitional democracy.
Tunatakiwa kutoka huko tuingie kwenye Demokrasia, kwa sabababu bado tupo kwenye transitional democracy, hatuwezi kuingia huko bila kubadilisha Katiba.
Lazima tutazama mfumo wetu wa kisheria na Katiba ili tuingie kwenye demokrasia inayoweza stahili na siyo mtu kuingia kwenye madaraka mkukimkuki.
Wataja tubu, pale wakipatiwa uhakika wa kutoshitakiwa. Ndio maana wanakimbilia tume kama ya Afrika Kusini.... ili waje wasamehewe kwa makosa yao....na wengine kwa 'mazingira' waliojenga ya kudhoofisha na kuchafua Serikali na Nchi kwa Ujumla.Lisu atuambie zaidi kuhusu kifo cha rais wetu maana alikua wa kwanza kukitangaza
Kwa heshima zote,September ina siri gani juu ya roho za mauti?.
September 7 - Tundu Lissu
September 28 - Balozi ya marekani Dar/Nairobi
September 11 - Twin Towers 🇺🇸
Alivyopigwa risasi previously alikuwa eneo la mgodi?Sasa apigwe mtu risasi kisa nn? Kaingia kwenye eneo la mgodi?
Sura halisi ya shetaniWananchi wote tuna haki sawa za kulindwa. Yeye alindwe zaidi kama nani? Familia yake ni raia wa nchi ya kigeni, kwa nini tupoteze raslimali zetu kutoa special treatment kwa raia wa mataifa ya kigeni badala ya kulinda raia wetu? Waende kwenye nchi yao wakalindwe huko.
Sura halisi ya shetaniSerikali ishindwe kuwa bize na maendeleo iwe bize kulinda msaliti Lisu?
Wamejaa hapa, utawabaini kwa aina ya comments zao.Mh [emoji848][emoji848] kwan S/Gang wanasemaje?
Watu kama Hawa ndio wanafanya niamini shetani yupo sio myth.upuuuz mtupu tanzania ina watu milion 62 yeye alindwe kama nan akae kwake hakuna wakumshambulia aishi kama alivyokuwa anaishi awali nchi yetu ni ya amani hata huyo lema alienda huko kwa manufaa yake binafisi na wala siyo mkimbizi
Satanic versesSasa kama yupo motoni anaungua huku mnataka mlindwe kwaajili ya nini.
Uwogauwoga wa kipumbavu na kudekadeka nitabia ya magasho.
Wengi tu tulifahamu days before ya kutangazwa na hatuko Tanzania, kuna nurses and doctors wa pale Mzena waliovujisha hiyo info.Halafu baada ya hapo wakampa habari lisu? Mana lisu alikua wa kwanza kutweet kuwa rais wetu kafariki na alisema kaambiwa na sources zake za kuaminika toka marekani. Sasa sisi tunataka atuelezee zaidi mana inaonekana alifahamu vizuri mlolongo mzima wa Rais wetu kuondoka
REMNANTS wake, HENCHMEN wake a. K.a SUKUMA GANG bado wako serikalini hadi Leo They are Salty, bitter, complaining hawashindwi kufanya jambo.Sasa kama yupo motoni anaungua huku mnataka mlindwe kwaajili ya nini.
Uwogauwoga wa kipumbavu na kudekadeka nitabia ya magasho.
Ukisikia upuuzi ndio huu!Wananchi wote tuna haki sawa za kulindwa. Yeye alindwe zaidi kama nani? Familia yake ni raia wa nchi ya kigeni, kwa nini tupoteze raslimali zetu kutoa special treatment kwa raia wa mataifa ya kigeni badala ya kulinda raia wetu? Waende kwenye nchi yao wakalindwe huko.
Hao uliowataja kwani wamekufa?Si walisema Magufuli ndio aliagiza kama kweli walikuwa wanaamini hivyo wasiwasi wa nini leo.
Magufuli hayupo, Kamanda Sirro hayupo, DC Athumani hayupo, Makonda hayupo, Mambosasa yupo makao makuu na admin work za jeshi la polisi.
Sasa wanamuogopa nani tena leo.
Kila nchi kwenye ubalozi wake kunakuwepo na majasusi na mwambata wa kijeshi. Lakini pia ikulu wamejaa majasusi pia.Kwanini unamsemea? Sisi tunataka kufahamu mamlaka ya kutangaza kifo cha rais wetu kwenye ukurasa wake wa mtandao wa udaku aliitoa wapi. Source zake za marekani alizosema 'zimemhakikishia' rais wetu kafariki nazo zilikuwepo dar es salaam?