Fatma Karume: Serikali imlinde Tundu Lissu na familia yake, tusikubali mtu apigwe risasi kwa sababu ya siasa

Fatma Karume: Serikali imlinde Tundu Lissu na familia yake, tusikubali mtu apigwe risasi kwa sababu ya siasa

Wananchi wote tuna haki sawa za kulindwa. Yeye alindwe zaidi kama nani? Familia yake ni raia wa nchi ya kigeni, kwa nini tupoteze raslimali zetu kutoa special treatment kwa raia wa mataifa ya kigeni badala ya kulinda raia wetu? Waende kwenye nchi yao wakalindwe huko.
Watu kama wewe ndio inawezekana mnaua kwa sababu ya siasa!
 
Fatma Karume amezungumza na Wakili TV na kufafanua mambo kadhaa ikiwemo kuhusu hali ya demokrasia nchini, siasa ya Tanzania na kurejea kwa Tundu Lissu. Huyu hapa anafafanua:

Nikiwa kama Rais mstaafu wa TLS nimefurahi sana kusikia Tundu Lissu anarudi Nchini Tanzania kwa sababu mazingira aliyoondokea hayakuwa ya kuridhisha, yalikuwa mabaya sana.

Hatuwezi kukubali mtu apigwe risasi kama vile kwa sababu ya siasa, haikubaliki kwenye Nchi yoyote inayopenda amani na demokrasia.

Nawaomba Serikali watazame hili suala, kwani waliofanya hicho kitendo cha kihalifu hawajakamatwa, ilikuwa ni kosa la jinai la kujaribu kufanya mauaji.

Serikali imekaa kimya, ni muhimu sana wale watu wakamatwe, kama inashindikana kukamatwa basi Tundu Lissu apewe ulinzi, yeye mwenyewe, familia yake wasipitie yale aliyopitia Septemba 7, 2017.

Baada ya Lissu kupigwa risasi, Watanzania tulipata mshtuko mkubwa sana, tulipitia katika kipindi cha traumatic period.

Niwaambie Watanzania wenzangu, kuwa hakuna jambo baya kukaa kimya ukiona uovu, ni jambo baya sana, tumia chochote ilichokuwa nacho kuonesha haujafurahishwa, tumia hata uso wako au sauti yako kuonesha hivyo.

Kukaa kimya na kupiga makofi huku mambo maovu yakitendeka ni kuungana na huo uovu, tusifanye hiyo tabia na tuiache.

Kuhusu ukimbizi wa kisiasa inasikitisha kuna watu walikimbia Tanzania kutokana na mambo ya kisiasa, siasa si ugomvi, siasa ni haki ya kutazama namna nyingine ya kuendesha Nchi, ni haki ya kila mwananchi kufanya siasa.

Kuwa na Wakimbizi wa kisiasa Tanzania ni aibu sana, niwakumbushe hasa CCM hawa wakimbizi wa kisiasa wametokea wakati wa CCM, tumepata wakimbizi wengi tu zaidi ya Lissu na watu kama kina Lema.

Pemba kuna watu walikimbia kwa sababu ya kisiasa, tuache huu ugomvi, tuishi kama binadamu, Tanzania ni kubwa sana, tupo watu Milioni 62, kuna nafasi sote kuishu humu ndani kwa amani.

Japokuwa hatuwezi kubaliana kwa mawazo lakini sote ni Watanzania, tupendane.

Kuhusu Demokrasia Nchini kwetu, tunakwenda hatua mbili mbele tunarudi tatu nyuma, tunakwenda tano tunarudi nne, tupo kwenye transitional democracy.

Tunatakiwa kutoka huko tuingie kwenye Demokrasia, kwa sabababu bado tupo kwenye transitional democracy, hatuwezi kuingia huko bila kubadilisha Katiba.

Lazima tutazama mfumo wetu wa kisheria na Katiba ili tuingie kwenye demokrasia inayoweza stahili na siyo mtu kuingia kwenye madaraka mkukimkuki.
Aliyetaka kumuua Tundu Lissu katangulia mbele za haki kamuacha Lissu anaendelea kula ugali. Atakayejaribu kumuua safari hii, naye atatangulia vilevile. Mungu hadhihakiwi.
 
Nchini Tanzania ukiwa Mwana Siasa haswa wa chama cha Upinzani haupo kwenye amani kabisa. Kwani Maisha yako yatakuwa yapo hatarini wakati wowote. Bado Nchini mwetu Tanzania hatuna Demokrasia ya ukweli itachukuwa miaka mingi ili tufike kwenye Demokrasia ya ukweli. Tusitarajie miaka ya hivi karibuni hali haito badilika kisiasa.Kwani walio madarakani sio rahisi kuachia uongozi wapo teyari watoe roho za mtu au watu ili wapate kutawala kwa nguvu kwenye madaraka.

What are some thoughts on in a democracy, you choose your own dictator.jpg

What are some thoughts on "in a democracy, you choose your own dictator"?
You may write for or against the topic. Alternately the question can be written as "Is democracy just the right to elect your own dictator? Why or why not?"
I have to prepare for a debate on the forementioned topic, I can debate for or against it, so wanted to know the views of people whether they are for the topic or against it and the reason accordingly.
 
What is Democracy?​

democracy
Turn on your TV and switch to a news channel. Take a pencil and a sheet of paper and prepare to take notes. Your aim is to count the use of one of the most popular words in the modern world. This word is democracy. I bet you will hear it at least 5-6 times within an hour. The word democratic has almost become a synonym to such adjectives as ‘good,’ ‘fair,’ and ‘equal’ (George 324). Politicians use it to evaluate the domestic and foreign policies of their neighbors, opponents, and allies. Simultaneously, it is obvious that in many cases, this word is misunderstood, as well as used for manipulation.
What is democracy? Why has it become the cornerstone of modern civilization? Democracy can be understood as a process of people governing their state and managing community affairs based on consensus (Howards 27). Though democracy is often defined as a form of government, to my mind, it is more reasonable to contemplate it as a process, a constant opportunity by which citizens may bring changes into their social and political life.
The origins of democracy lie in Ancient Greece. This term was constructed from two Greek words: ‘demos,’ which means ‘people,’ and ‘cratos,’ which means ‘power.’ A long time ago, Greek men used to gather in the town square to make decisions about urgent political issues. Greek democracy was direct—not only in the sense that citizens could vote for decisions personally, but also in the sense that they could control the political process and the authorities. It must be pointed out that back then, not everyone could take part in voting—this privilege was only available to male citizens. Slaves—and ancient Greece was a slavery state—and women could not affect social and political life (George 76).
Along with the population’s growth and the complication of political processes, it had become almost impossible to conduct direct democracy. This led to a representative democracy—the model which is used all over the world today. It may be constitutional, parliamentary, or presidential—the main feature is that people affect political life through the representatives they have chosen through elections (Howards 35).
Modern democracy implies many privileges that ancient Greeks did not know of. For example, people now can vote regardless of their gender, skin color, social status, or financial position. Democracy is considered to be the optimal way to run the state, however many critics talk about democratic tyranny and even the injustice of this form of government (Howards 56). Imagine that in a presidential election, 49% of the electorate vote for one candidate, and 51% vote for another. The second candidate wins the election, but what about those people whose interests are subjected to the will of the majority?
Democracy is a complicated and versatile phenomenon that can be studied from different approaches. However, as Sir Winston Churchill had said once: “Democracy is the worst form of government except for all those others that have been tried.”
References
 
September ina siri gani juu ya roho za mauti?.

September 7 - Tundu Lissu
September 28 - Balozi ya marekani Dar/Nairobi
September 11 - Twin Towers 🇺🇸
 
Lisu atuambie zaidi kuhusu kifo cha rais wetu maana alikua wa kwanza kukitangaza
Wataja tubu, pale wakipatiwa uhakika wa kutoshitakiwa. Ndio maana wanakimbilia tume kama ya Afrika Kusini.... ili waje wasamehewe kwa makosa yao....na wengine kwa 'mazingira' waliojenga ya kudhoofisha na kuchafua Serikali na Nchi kwa Ujumla.

Watatubu, Bahari, Maziwa, Mito , visima vitakaushwa tujue Ukweli, Mawe yatapinduliwa, makaburi yatafukuliwa. Visasi vya ubinafsi vimejipenyeza kwenye siasa za Vyama, na sasa wanaweka mazingira ya hayo yatokee kwenye siasa za Chini ya miembe, kwenye vigoda vua wacheza Drafti.
 
September ina siri gani juu ya roho za mauti?.

September 7 - Tundu Lissu
September 28 - Balozi ya marekani Dar/Nairobi
September 11 - Twin Towers 🇺🇸
Kwa heshima zote,

Umejaribu kutafuta, Vita vya Majimaji?
Vita ya Kagera?

Mapinduzi ya Zanzibar.

Kuna shehena ya habari na Taarifa muhimu Kuhusu Tanzania na Afrika kwa Ujumla.

Mauti kila siku. Hizo tarehe ukitafuta vizuri utaona kuna watu wengi waliokufa na umasikini na Njaa kuliko umavyotaka kuaminisha.....yote kwa jini la haki na Domokrasi.
 
Fatma Karume: Serikali imlinde Tundu Lissu na familia yake, tusikubali mtu apigwe risasi kwa sababu ya siasa​

Sawa. Kiuhalisia wanaojua alipigwa Risasi kwa sababu za kisiasa ni wahusika wakuu.

Wengine huku kwa kajamba nani tunaaminishwa tu, mara , walionekana, mara hawajulikani, "na mjua yule aliyetoka kwenye lile gari" mara hawakuonekana mara wanajulikana ila hawajulikani.

Yaani wananchi tumefanywa kama sisi ndio......Vilaza n.k n.k
(jaza mwenyewe)

Haijalishi
Lililikuwa sio jambo jema
 
S
Wananchi wote tuna haki sawa za kulindwa. Yeye alindwe zaidi kama nani? Familia yake ni raia wa nchi ya kigeni, kwa nini tupoteze raslimali zetu kutoa special treatment kwa raia wa mataifa ya kigeni badala ya kulinda raia wetu? Waende kwenye nchi yao wakalindwe huko.
Sura halisi ya shetani
 
upuuuz mtupu tanzania ina watu milion 62 yeye alindwe kama nan akae kwake hakuna wakumshambulia aishi kama alivyokuwa anaishi awali nchi yetu ni ya amani hata huyo lema alienda huko kwa manufaa yake binafisi na wala siyo mkimbizi
Watu kama Hawa ndio wanafanya niamini shetani yupo sio myth.
 
Halafu baada ya hapo wakampa habari lisu? Mana lisu alikua wa kwanza kutweet kuwa rais wetu kafariki na alisema kaambiwa na sources zake za kuaminika toka marekani. Sasa sisi tunataka atuelezee zaidi mana inaonekana alifahamu vizuri mlolongo mzima wa Rais wetu kuondoka
Wengi tu tulifahamu days before ya kutangazwa na hatuko Tanzania, kuna nurses and doctors wa pale Mzena waliovujisha hiyo info.
 
Huna kitu kichwani lissu ni mtanzania ana haki ya kulindwa hasa kutokana na matatizo aliyoyapata chini ya utawala wa mateso na mauwaji wa mwendazake na hasa ikitiliwa maanani hao jamaa wapo huru.
 
Sasa kama yupo motoni anaungua huku mnataka mlindwe kwaajili ya nini.

Uwogauwoga wa kipumbavu na kudekadeka nitabia ya magasho.
REMNANTS wake, HENCHMEN wake a. K.a SUKUMA GANG bado wako serikalini hadi Leo They are Salty, bitter, complaining hawashindwi kufanya jambo.

Pia wale waliopewa kazi Ile wako kitaa hadi Leo.

Mmoja wapo ni wewe.
 
Wananchi wote tuna haki sawa za kulindwa. Yeye alindwe zaidi kama nani? Familia yake ni raia wa nchi ya kigeni, kwa nini tupoteze raslimali zetu kutoa special treatment kwa raia wa mataifa ya kigeni badala ya kulinda raia wetu? Waende kwenye nchi yao wakalindwe huko.
Ukisikia upuuzi ndio huu!

Wewe na Lisu mpo sawa?

Wewe umepigwa risasi ngapi?

Hivi unaelewa kuwa tunatoa ulinzi kwa balozi zote, hata kwa watalii wa kigeni? Kwanza wageni wanalindwa kuliko hata wewe ili kulinda heshima ya nchi. Nilienda nchi fulani kama member wa team ya watu wanne, ya uwekezaji, wakati wote tulilindwa na askari wanne toka kikosi cha ulinzi wa Rais jambo ambalo hawafanyi hata kwa mawaziri wao.
 
Si walisema Magufuli ndio aliagiza kama kweli walikuwa wanaamini hivyo wasiwasi wa nini leo.

Magufuli hayupo, Kamanda Sirro hayupo, DC Athumani hayupo, Makonda hayupo, Mambosasa yupo makao makuu na admin work za jeshi la polisi.

Sasa wanamuogopa nani tena leo.
Hao uliowataja kwani wamekufa?
 
Kwanini unamsemea? Sisi tunataka kufahamu mamlaka ya kutangaza kifo cha rais wetu kwenye ukurasa wake wa mtandao wa udaku aliitoa wapi. Source zake za marekani alizosema 'zimemhakikishia' rais wetu kafariki nazo zilikuwepo dar es salaam?
Kila nchi kwenye ubalozi wake kunakuwepo na majasusi na mwambata wa kijeshi. Lakini pia ikulu wamejaa majasusi pia.

Bila shaka majasusi wa ikulu waliwapa taarifa majasusi wetu waliopo US,nao wakamhakikishia Lisu kuhusu kifo cha Rais. Wengi walikuwa wanajua ila walikosa ujasiril. Hata Majaliwa alitesema Rais yupo ofisini anachapa kazi, alikuwa anajua. Alipokea taarifa hizo akiwa Iringa lakini akaendelea na ziara yake Mbeya.

Hapa nchini taarifa zilichelewa kutolewa rasmi kwa sababu **** watu walikuwa wanautaka Urais kinyume na matakwa ya katiba. Na hawa, wote, mmoja baada ya mwingine, wameondolewa kwenye nafasi zao.
 
Back
Top Bottom