Wakili msomi Fatma Karume anasema kuwa viongozi waTanganyika ndiyo tatizo.
Your browser is not able to display this video.
Viongozi wa Zanzibar na wananchi wa Zanzibar wanajitambulisha kama wazanzibari katika muungano wa nchi mbili kisha inafuata uTanzania.
Lakini viongozi wa kutoka upande wa bara hasa hawa wa CCM na serikali yake wanaona haya na kulazimisha kuufuta utanganyika wa asili raia taifa lao Tanganyika.
Upande wa Zanzibar utambulisho ni Mzanzibari kwanza, halafu mbili kutoka Tanzania.
Hapo ndipo kunapotokea zogo lakini kiuhalisia huwezi kufuta uasili wa kitaifa wa mtu katika Muungano anasisitiza wakili Fatma Karume kwa viongozi wa CCM bara na walio katika serikali yake.
Jamhuri ya muungano wa Tanzania ni wa nchi mbili Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar.
Jina la kwanza lilitambulika kama nchi ya Jamhuri za Tanganyika na ya Watu wa Zanzibar April 26, 1964.
Ilichukua miezi kadhaa baada ya muungano jina hilo la kwanza refu hadi kubadilishwa kuwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwezi Oktoba 1964
Historia ya nchi ya Tanganyika iliyopata uhuru mwezi December 1961 na nchi ya Zanzibar iliyopata uhuru wake mwaka 1963 mwezi December pamoja na vizazi vya nchi hizo vilivyofuatia haviwezi kufutwa na viongozi wachache wa CCM kwa kuwa utaifa ni asili.
Siyo lazima upande juu ya bati na kupayuka kuwaambia majirani wewe ni baba mwenye nyumba.Tutamuona mkeo tumbo lake linavyoumuka tu.
NB;Fatma anatulisha sumu tuchukie na kuweweseka.
Hilo ni suala la kijiografia, ukitaja jina TANZANIA akili yako inakuja RAMANI YA TANZANIA kwamaana ya Tanzania Bara mpaka akili yako i-load tena ndio itaongeza hivyo visiwa.
So technically Tanzania ni Tanganyika mpaka uongelee mada ya Muungano ndio unakumbuka kuna kitu kinaitwa Tanganyika.
Kutaka unaware kwamba na sisi tujiite Watanganyika na Kuji pround haina tofauti na ule usawa wa 50/50 wanaolilia wanawake.
Hata Zanzibar ndio ingekuwa bara na hii called Tanganyika ndio ikawa kisiwa kidogo ingekuwa hivyo hivyo Tanganyika ungeona inajualikana kama Tanganyika na Zanzibar ingetumia jina la Tanzania tu.
Kwa lugha nyingine muungano Tanganyika ina Share 90% na Zanziba ina share 10% huwezi ukatafuta usawa hapo yaani likioande la ardhi love hili ulinganishe na ka kikawanja kadogo kanaitwa Zanzibar jinalitalozaliwa lazima lille kwa huyu Mkubwa tu.

HOTUBA NZITO YA WAZIRI MKUU WA NCHI HURU YA ZANZIBAR MBELE YA UMOJA WA MATAIFA MWAKA 1963
Mheshimiwa Mohamed Shamte Waziri mkuu wa nchi huru ya Zanzibar akihutubia Baraza la Umoja wa Mataifa mjini New York tarehe 16 December 1963 na kusisitiza hakuna nchi ndogo wala kubwa inapokuja suala la sovereignty na kujiamulia mambo yake yenyewe au kutoa misimamo yake mbele ya mataifa mengine ktk baraza la umoja wa mataifa UN
10 December 1963 Zanzibar ilipowasiliana na katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa UN kwenda Baraza la Usalama la UN kuhusu kuomba uanachama UN na kisha hotuba atakayoitoa waziri mkuu wa taifa huru la Zanzibar:
Summary:
Title Cable dated 10 December 1963 from the Prime Minister of Zanzibar addressed to the Secretary-General concerning application for membership in the United Nations
Concerns the application by Zanzibar for membership in the United Nations.
Lakini viongozi wa kutoka upande wa bara hasa hawa wa CCM na serikali yake wanaona haya na kulazimisha kuufuta utanganyika wa asili raia taifa lao Tanganyika.
Upande wa Zanzibar utambulisho ni Mzanzibari kwanza, halafu mbili kutoka Tanzania.
Hapo ndipo kunapotokea zogo lakini kiuhalisia huwezi kufuta uasili wa kitaifa wa mtu katika Muungano anasisitiza wakili Fatma Karume kwa viongozi wa CCM bara na walio katika serikali yake.
Jamhuri ya muungano wa Tanzania ni wa nchi mbili Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar.
Jina la kwanza lilitambulika kama nchi ya Jamhuri za Tanganyika na ya Watu wa Zanzibar April 26, 1964.
Ilichukua miezi kadhaa baada ya muungano jina hilo la kwanza refu hadi kubadilishwa kuwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwezi Oktoba 1964
Historia ya nchi ya Tanganyika iliyopata uhuru mwezi December 1961 na nchi ya Zanzibar iliyopata uhuru wake mwaka 1963 mwezi December pamoja na vizazi vya nchi hizo vilivyofuatia haviwezi kufutwa na viongozi wachache wa CCM kwa kuwa utaifa ni asili.
Tanganyika nayo kama nchi huru iliwasiliana na kuomba kukubaliwa unachama UN tarehe 14 December 1961
Waziri mkuu wa nchi huru ya Tanganyika mwalimu Julius K. Nyerere akiingia New York Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa na akihutubia UN kwa mara ya kwanza akiiwakilisha nchi huru ya Tanganyika
HOTUBA NZITO YA WAZIRI MKUU WA NCHI HURU YA ZANZIBAR MBELE YA UMOJA WA MATAIFA MWAKA 1963
Mheshimiwa Mohamed Shamte Waziri mkuu wa nchi huru ya Zanzibar akihutubia Baraza la Umoja wa Mataifa mjini New York tarehe 16 December 1963 na kusisitiza hakuna nchi ndogo wala kubwa inapokuja suala la sovereignty na kujiamulia mambo yake yenyewe au kutoa misimamo yake mbele ya mataifa mengine ktk baraza la umoja wa mataifa UN
Julius Nyerere mwaka 1959 akiulizwa kuhusu kama Tanganyika ipo tayari kuwa nchi huru
View: https://m.youtube.com/watch?v=o54zxGwrdMY
Nyerere aliulizwa na nchi za mabeberu mwaka 1959, : Je Waafrika "wako tayari" kwa uhuru? Baba mwanzilishi wa Tanganyika #Julius Nyerere akajibu: "Ukiingia nyumbani kwangu na kuiba koti langu, huna haki yoyote ya kuniuliza kama niko tayari kwa koti langu ... naweza nisionekane nadhifu ndani yake lakini ni langu." --
Nyerere was asked by the west In 1959, : Are Africans "ready" for independence? Tanzania’s founding father #JuliusNyerere: “If you come into my house and steal my jacket, you don't have any right to ask me if am ready for my jacket ... I may not look as smart in it but it's mine.” ——
Siyo sisi ni CCM Bara ndiyo imeingiza unyonge wa Fikra Huru kwa watanganyika wasijione ni ufahari kujitambulisha kuwa wao ni watanganyika ndani ya Tanzania.
Ukoloni mkongwe na ubeberu bila kujali umetoka wapi jambo la kwanza ni kufuta historia na wanakuja kutunga historia mpya wanayoitaka wao kwa manufaa yao mfano wakoloni weusi kupitia vyama vya ukombozi vilivyopigania uhuru Afrika.