Fatuma Karume: Zanzibar inaidai Tanzania bara 4.6 trillion

Umenifurahisha hapo kwenye "my take", umeandika kinyonge sana ni bora ungeacha wadau wakusaidie kujibu hoja instead ya ulichoandika ambacho mbali na kuonyesha umaamuma bali inakudhihirisha umjinga uliyeshindwa kuitetea Jamhuri
 
( inasemekana kuna wakati serikali ya JMT inatoa pesa za kusaidia kulipa mishahara ya SMZ),
Hilo suala lilitokea kipindi cha utawala wa Komandoo ilikua ni late 90's lakini sio kama ni jambo la mara kwa mara


Wanakimbilia kupiga hisabu sababu Zanzibar wanaidi Bara hela nyingi mno, for the last 10 years haipungui trillion 10, Hizo wanazodaiwa wao na Bara ni hela ndogo ndogo tu, mana kama hio ishu ya umeme hata bilioni 100 haijafika.
 
2 state solution ndio dawa /muarobaini kero za muungano . Hapa jamhuri ya Zanzibar ,n'gambo ya pili ya Zanzibar channel Jamhuri ya Tanganyika. Jamhuri mbili zinaishi kwa amani na upendo milele daima.

Na Tanganyika itaachiwa ilitumia jina la Tanzania kama wanalipenda, mana Zanzibar hwatakua na haja nalo
 
Hiyo mikopo kama wangepata , je kwenye kulipa nako wangechangia asilimia hiyo 4?
 
Tunahitaji kuwa na serikali moja kuondoa haya malumbano
Hilo hawalitaki hata kulisikia, na kwa kuzingatia idadi ya bara na visiwani inawezekana mgawanyo huo wa mapato wala sio wa usawa,haya mambo ni magumu kweli
 
Una hakika gani kuwa hawajasaidiwa zaidi ya hiyo tuliyoambiwa? Ndio maana ni vizuri waweke hesabu zote wazi. Unaweza kukuta wanajipunja. Kinachotakiwa ni uwazi na sio hizi hear say.

Amandla...
 
Hawa waliopo bara wakirudi wote huko visiwani watabanana kweli kweli sijui Kama ardhi itawatosha
 
Tunasubiri nini kuifanya Zenji kuwa kijimkoa tu!
Nalog off
 
Mbwa ukimchekea atakufuata hadi msikitini
 
Zanzibar ni wabaguzi sana.. Na bado
Halafu asili yao karibu robo tatu ni huku bara, huko Zenj walihamia tu,kisiwa hakikuwa na watu bali kituo cha meli za uvuvi na biashara, labda Watumbatu ndio wana jeuri ya kujiita Wazanzibari wengi ni wahamiaji tu kuna Wakomoro, wahindi,waoman, Wamalawi . Na huyo anayejimwambafy kwanza sio mzanzibari ni mhamiaji tu asili yake ni Malawi kwa Kamuzu Banda.
 
Nasikia walienda kukutupa katikati ya bahari ya hindi..kati ya zenji na bara.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…