Fatuma Karume: Zanzibar inaidai Tanzania bara 4.6 trillion

Huu ndiyo ukweli wenyewe mchungu. Zanzibar ni nchi mojawapo iliyo sehemu ya nchi mbili huru ziundazo JMT. Kwa hiyo stahiki zake zote zitokanazo na mambo yaliyoanishwa ndani ya muungano ni halali yake.
It is too hard a truth to accept.
 

Pana haja ya kuangalia bara inaidai Zanzibar kiasi gani?

Hivi hata Tanesco waliwalipa?
 
Nilishangaa sana walipompa urais wa Tls wakati Zanzibar ina chama chao cha sheria, wamezoea kubebwa viongozi wengine walikuwa wanakachekea kasoro Magu alikakomesha.
 
Huyu dada ana akili timamu kweli? Sio kupayuka payuka tu kama vile yeye ni special one. Tanzania gani anayoitetea kama analeta siasa hizi za kubabaisha? Asisikilizwe.
 
Huyo CIA ni muongo kama waongo wengine, kwasababu haiwezekani mwenye huitaji anufaike zaidi kuliko asie na huitaji, yaani Nyerere kazika nchi kubwa ya Tanganyika kwasababu ya kanchi kama Zanzibar! !! ukweli unaonekana wala haitajiki CIA kuteleza hizo propaganda zao
 
My take : Hawa Wazanzibar hawaridhiki kila siku wanaibuka na kero mpya ifike pahali tuunde Serikali moja including Zanzibar iwe kimkoa tu tutumie nguvu tu
Hii kero mpya? Umezaliwa jana kwani wewe sio? Jitambue kwanza kabla kuongea pumba
 
hizi ndio kama zile hela tulikuwa tunawadai acacia na barrick...madeni ya nadharia, "profesorio rabish"
 
Yani unataka tugawane mkopo lakini deni mtuachie tulilipe wenyewe?
Ndio shida ya ubaguzi... hawa wakija huku wanajidai wenzetu, wakienda kwao wanatubagua.... dawa ni kuwa na Tanganyika yetu tu.
 
Huu muungani ni kama wa kulazimishana lazimishana vile, body language ya wanzabari wakiwa peke yao ni kama hawautaki ...ila wakija kwenye vikao huku bara sijui nini huwapata !!
Wanaokuja kwenye vikao mara nyingi huwa ni watumwa wa wenye manufaa na muungano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…