Fatuma Karume: Zanzibar inaidai Tanzania bara 4.6 trillion



Hawa warabu weusi ni shida ndugu yangu! mpaka sasa bado ni watumwa wa dini za wenzao!
 
Sawa Wakija huku hakuna Kumiliki Ardhi kama sisi tukienda kule,Yaani Wa huku akiwnda Kule shaeria kama zote...
Na Sisi tuhamishie zile taratibu huku?
Ziko nyingi tuu Mkuu
kama vipi waachieni nchi yao, na nyie bakini na nchi yenu
 
Huyu naye awe na brake maana anazoza kila wakati.
 
kijiji kikabaki kuwa na serikali na upande mwengine ukakana utambulisho wake. In short Tanganyika ndio Mkoa na hizo Dar, Mtwara, Arusha n.k ni wilaya tu. Zanzibar bado ni nchi hadi sasa
 
Nyie rais wenu anachaguliwa Dodoma na ubavu wa kuvunja Muungano hamna.
Si tatizo atakapochaguliwa Dodoma, inatosha wewe unatambua kuwa Zanzibar kuna rais na hakuna rais wa Tanganyika wala serikali. Muungano hauvunjwi na kibaraka alowekwa Dodoma, wanajua vyema siku wakiacha mkono CCM zanziba ndio kaburi la chama na Muungano
 
Hata chama cha ndondi kina rais, kwani urais ndiyo issue?
 
TANESCO wakikupatia umeme bila kukukatia licha ya wewe kuwa na deni wamekulazimisha kutumia huo umeme?

Unaelewa kulazimisha maanayake nini?
Nikikupa mfano ndio utachanganyikiwa kabisa... rudisheni chenji kwa wazenji acheni kulialia. Mkiambiwa mrudishe Tanganyika hamtaki mnalazimisha muungano wa serikali mbili huku moja ikiwa imemezwa ingine ikidhulumiwa kwa jina la muungano...
 
Nikikupa mfano ndio utachanganyikiwa kabisa... rudisheni chenji kwa wazenji acheni kulialia. Mkiambiwa mrudishe Tanganyika hamtaki mnalazimisha muungano wa serikali mbili huku moja ikiwa imemezwa ingine ikidhulumiwa kwa jina la muungano...
Mimi ni citizen of the world.Hapa nina mkoba wa Kinyamwezi. Nakaa New York City, the capital of the world.
Inawezekana tusielewane kwa mengi tu.

Nishavuka ubishi wenu wa kijinga wa Tanganyika an Zanzibar. Muungano ambao unaonekana kudhoofika kiasi cha kuweza kufa kabla yangu.

Albert Einstein said Nationalism is an infantile disease, it is the measles of mankind.

I see what he meant.
 
Ndio nini sasa hiki? Ungelikaa kimya ungeeleweka lakini la kujibu na kuja na majitapo uchwara kwamba una mkoba wa unyamwezini halina maana zaidi ya kujianika Mkuu... pole sana.
 
Ndio nini sasa hiki? Ungelikaa kimya ungeeleweka lakini la kujibu na kuja na majitapo uchwara kwamba una mkoba wa unyamwezini halina maana zaidi ya kujianika Mkuu... pole sana.
Nakwambia hivi kama Albert Einstein alivyosema.

Nationalism is an infantile disease. It is the measles of mankind.

Hiyo Zanzibar yenyewe mnayolilia kuichukua hamuwezi.Mmefadhiliwa tangu mapunduzi, kwa sababu mnataka kuwa na nchi lakini watu wa urojo hamna jeshi.

Na mkiichukua inameguka Wapemba watataka yao.

Acheni kutusumbua na kelele zenu, kama mnataka nchi yenu ipiganieni muichukue.

Vinginevyo quit the bitching.
 
Nani kakwambia kama hatuiwezi? Ivi Zanzibar unaijua ilivyokuwa kabla ya Muungano? Sisi watu wa urojo tuna JKU nyinyi wala Sembe mna nini? Vichwa mchungwa tu.

Hizo sembe zenu mkishiba ndio mnakaa kuwa eti Zanzibar ikitoka kwenye Muungano na Pemba watadaia yao πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ hutujui, ndio tutakuwa strong than ever.

Tunaendelea kuipigania nchi yetu. Rais wa Muungano amekuwa mzanzibari ndio kwanza mwaka mmoja mnaanza kuhaha! Woga umekithiri mnaogopa Zanzibar ataiachia kwa upinzani πŸ˜€ Msiogope kibaraka chenu bado yule.
 
Yeah ndiyo ishu kubwa tu. Ata Yanga wana bendera.

Tafuteni uhuru wenu watumwa nyie.
Ama wachukue nchi yao, ama wakae kimya.

The ranting online does not help anything.

It just makes them look like weak little bitches.
 
Unaipigania kwa nini?

Mabua na post za JF?
 
Ama wachukue nchi yao, ama wakae kimya.

The ranting online does not help anything.

It just makes them look like weak little bitches.
You people are the one bitching, forcing a relationship that never worked out!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…