Tetesi: Faustine Mafwele yamkuta mazito, Augustino Polepole amtaka ajitokeze hadharani

Don't be an ass-hole by changing the subject.
Hizi harakati zenu za kuitakia mabaya Tanzania zinazidi kupotea kadri muda unavyokwenda.

Mnaishia kuwatungia watu wa usalama mkiwaombea mabaya yawapate.

Mnasahau ubaya ulianzia kwenu katika kutengeneza fitina za mitandaoni.

Sidhani kama mnazo hekima za kujifunza kupitia namna mnavyotengeneza habari mbaya kwa lengo la kuwachonganisha baadhi ya wenye vyeo na wananchi.
 
Na wewe tengeneza fitina😁😁

Sema hii skendo Kwa Mafwele ni carrier suicide
 
Hizi harakati zenu za kuitakia mabaya Tanzania zinazidi kupotea kadri muda unavyokwenda.
Huu ndio upumbavu mliomjaza Samia kichwani; sasa hana la kufanya tena kujinasua! Anasubiri tu hatma yake imkute.
Sidhani kama mnazo hekima za kujifunza kupitia namna mnavyotengeneza habari mbaya kwa lengo la kuwachonganisha baadhi ya wenye vyeo na wananchi.
Usivyokuwa na akili, bado tu unafikiri kuna haja ya mtu mwingine wa "kuchonganisha" zaidi ya nyinyi wenyewe. Wewe kweli ni kihiyo hasa.

Kwanza haya yote unayojaza humu JF hakuna hata moja unaloliamini wewe mwenyeweww, kazi yako kubwa ni kuja kupoteza muda tu humu..

Huo "urithi wa tamaduni" za ajabu ajabu umewaharibu sana akili wewe na Samia na Genge zima.
 
Heshimuni mamlaka, ndio tulizonazo. Nina uhakika hata CDM wangekuwa na dola hivi sasa tofauti isingekuwepo kiuongozi.
 
You reap what you saw, kila mmoja anavuna alichokipanda. Mafwele kafira sana na hamjawahi kulalamika sasa kafirwa yeye ndiyo mnakuja na hizo ngonjera bubu.
Mitandao yote TZ akifa kiongozi wa serikali au wa CCM au akifa polisi mnaona posts za watu kufurahia do you know what that translates? Watu wameuchukia utawala na usisingizie kuwa wameshawishiwa kwani there is no way unaweza kuwashawishi raia waichukie serikali kama hawana sababu ya kuichukia. Siku kwa bahati mbaya janga limkute kiongozi mkubwa wa kitaifa ndipo utashangaa furaha watakayokuwa wananchi walio wengi.
 
Mnajipa moyo marafiki zetu wahanga wa October 29. Mafwele akidhurika wapo wengi tu huko kwenye kikosi maalum cha polisi (task force).
 
Tatizo keshafirwa and we don't give a damn who'll come next, whoever comes should as well be prepared for the consequences.
Broh umempata /umejiridhisha vipi kuwa jamaa wamemtatua?
 
Broh umempata /umejiridhisha vipi kuwa jamaa wamemtatua?
Mwali keshaolewa tunatamba naye, habari zimetoka jioni kabisa japo connection imehifadhiwa inatumika kufanya blackmail ili mambo yanyooshwe kadri inavyohitajika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…