FBI walivyobaini utapeli na ugaidi wa Nabii Rashnishi toka India

Ha ha ha...mbona umecheka Sana, kwamba MILLIONEA alishindwaje kulipia parking fee?πŸ˜‚
 
Hakuwa Dactari wa binadamu kama ulivyoandika alikuwa Lecturer wa chuo alikuwa anafundisha PHILOSOPHY, Mimi huyu bwana nimepata kusikiliza video zake nyingi mpaka nikaagiza Vitabu alivyopata kuandika Nikavinunua ninavyo mpaka ,A SUPER GENIOUS.
Safi sn, Hebu karibu ushushe madini zaidi khs uyo jamaa, mi sjamfuatilia sana. Ila ktk kusoma zile fbi files ndo nmekutama na kisa chake ndo nikakileta humu
 
Sio mtaalamu Sana WA kiswahili, Ila kanisa nilimaanisha Kama sehemu ya kuabudu, maana Rajnishi alkua kiongozi WA kiroho. Asante sn kunisahihisha
Huyo mwamba ni kama vile alitaka attention ya kujimwambafai kama ulivyozoeleka kwenye jamii yetu ya kiswahili.

Bahati mbaya kwake umemjibu in a gentle way
 
Safi sana, ni kisa kizuri
 
1. Bila shaka hii story itakua umesimuliwa msikitini ukifatilia historia ya huyu bwana hakuwahi kua na kanisa

2. Bali alikua anashawishi watu kutofuatisha dini kuu za dunia i.e ukristo,uislamu sasa kanisa madhabahu yote haya ametoka wapi? Yeye alianzisha movement inayoitwa rajneeshpuram
3. Huyu mtu alishitakiwa kwa makosa ya uhamiaji na bio attack hayo ya salmonella

Au mwenzetu makobazi huwezi kutofautisha kila kitu unaona kanisa,madhabahu, maji ya upako etc...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unaweza google rajneeshpuram saga ukaelewa zaidi
 
Hongera kwa uandishi mzuri na kuvutia, ila kwanini unasema Jamaa alikua medical doctor sio philosopher? kwanini unasema Sheela alikua mke wake sio personal assistant?
Miaka minne na nusu aliyofungwa Sheela ilikua kwa kosa gani?

Ya mwisho umesema sababu ya kufungwa kwa jarida ni miaka 100 kupita wakati sheela yupo mpaka sasa akiwa na miaka 75 tu?
 
Duh!
Pamoja na kuwa na masikio ya paka na macho ya chui kwenyehabari za kidunia
Sijawahi kujua huyu bingwa...
Asante....
 
Kina mwamposa wanapita mulemule...
Unafanyiwa miadi kumuona, baada ya kujieleza shida zako, wanakupanga ushiriki kwenye misa, halafu unapewa maji ya upako....
 
Hata mimi nilidhani alikuwa mkristo kumbe hakuhusiana kabisa na ukristo ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…