FBI walivyobaini utapeli na ugaidi wa Nabii Rashnishi toka India

Nabii RAjNISHI alikua mtu humble Sana, ata siku anakamatwa anatabasamu tu, unaweza dhani , anasingiziwa.

Picha ni akiwa na bodyguards wake, inasemekana alkua na ma bodyguard wengi na msafara wake, unaweza dhani RAISI anapita
Hongera mkuu 🀝 bandiko zuri.
 
Hakuwa Dactari wa binadamu kama ulivyoandika alikuwa Lecturer wa chuo alikuwa anafundisha PHILOSOPHY, Mimi huyu bwana nimepata kusikiliza video zake nyingi mpaka nikaagiza Vitabu alivyopata kuandika Nikavinunua ninavyo mpaka ,A SUPER GENIOUS.
alikua haamini kabisa habari za Mungu
sasa huo unabii sijui umetoka wapi?
 
Ndio maana siku zote nasema wafuasi wa wafia dini ni vichaa. Kumbe muda mwingine wanatiwa makemikali!! Ila manabii watu wabaya sana.
 
Simulizi nzuri sana, ila kuna mambo hujayaweka sahihi, sijajua kwanini umeamua kumwita Nabii, na kwamba alikuwa anongoza kanisa, vitu ambavyo sio sahihi kabisa, ilijulikana sana kama Rajneesh movement, na yeye kama Guru. Lingine ambalo sio sahihi ni kuhusu Ma Anand Sheela, hakuwa mke wake alikuwa personal secretary wake na badae msemaji mkuu wa taasisi yake.

Kuna hii documentary inaitwa Wild Wild Country ya 2018 kuhusiana na Bagwan Rajneesh.
 
Mkuu kuna baadhi ya vitu umeamua kupotosha makusudi. Huyu jamaa hakuwahi kuwa na KANISA, na hakuwahi kutambulika kama NABII kwa mujibu wa dini za kikristo na Kiislamu, na actually alikuwa akizipinga hizi dini. Moderator hii haijakaa sawa.
 
Mkuu kuna baadhi ya vitu umeamua kupotosha makusudi. Huyu jamaa hakuwahi kuwa na KANISA, na hakuwahi kutambulika kama NABII kwa mujibu wa dini za kikristo na Kiislamu, na actually alikuwa akizipinga hizi dini. Moderator hii haijakaa sawa.
Moderator nae ni kama mimi na wewe, si ajabu hajui ukweli ni upi na uongo ni upi kwa story ya namna hii, huo upotoshaji wewe unaejua ndio uweke ukweli wake hapa.
 
Wakristo wengi sijui huwa mnalishwa nini, mna maneno ya hovyo sana, ego ya kiwango cha sgr.

Kwani ungemsahihisha mleta uzi kwa staha ungepukiwa nini mpaka uhusishe misikiti na makobazi wakati jamaa DeepPond hata dini sidhani kama anayo/anaamini huko.
 
Kuna wale wajinga walioleta dengue nao ilikuwa hivihivi wanajifanya wanalima spinach kumbe wana maabara yao ya siri wanazalisha wadudu . Big congs from one of youngest prof with 32 year old from SUA to solve that puzzle
 
Sahii kabisa, Rajnishi alikua anaheshimika sana kwenye jamii yake. Usingeamini alikua tapeli
Hao wote so called mitume / manabii hizo ndio njia zao


Wame kuwa inspired na kina Yesu / Muhammad hao ndio waanzilishi wa huo utapeli , so hao Wana fanya kile walicho kirithi tu Toka Kwa kina Yesu / Muhammad
 
Kuna wale wajinga walioleta dengue nao ilikuwa hivihivi wanajifanya wanalima spinach kumbe wana maabara yao ya siri wanazalisha wadudu . Big congs from one of youngest prof with 32 year old from SUA to solve that puzzle
Aisee kumbe ni mchongo !?? πŸ€”πŸ˜‚
 
Mkuu unajua kuandika story, Nimeisoma hadi mwisho hii.
Hawa manabii wanacheza na akili za watu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…