Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,296
- 3,398
Gang Chomba hana nyimbo safari hii maaana hata uefa alhamisi AC Milan itawakosa,wataajiri kila mchezaji aliepita Milan kocha,si ajabu ukasikia Kaka kawa meneja san siroHahahahahahaaaa, sijakusikia kitambo sana, hasa hizo ngebe na majivuno yako, halafu nasikia wewe na Gang Chomba mmekimbia na pesa za Abajalo!
Nilichokuitia hujakijibu umeishia kumwaga mipasho tu, kumbe huwa mnatembeza mlungula wa maana mkitaka kumsajili mchezaji?
Kombe lipi hilo? Au kombe la uji?
Gang Chomba hana nyimbo safari hii maaana hata uefa alhamisi AC Milan itawakosa,wataajiri kila mchezaji aliepita Milan kocha,si ajabu ukasikia Kaka kawa meneja san siro
Jana kocha gerardo martino alikosea sana kumfanya song acheze na kuchelewa kumtoa wakati alionekana kapwaya pale kati.na pique anaendelea tu kuboronga na kucheza chini ya kiwango,na hili linafanya uhitaji wa barcelona kusajili beki wa kati kuwa wa lazima neymar hakuwa uwanjani kwa mujibu wangu,ingawaje ni mapema sana ila kwa style hii kuna kila dalili kombe kwenda kwa madrid.
Huyu jamaa yako ndio maana anachapika kwa ban kila kukicha yaani anaropoka kama kalishwa usembe vile kwa mwendo huu atabadiri majina kila siku kama nywele vile, anashindwa kujizuia hizo sarakasi zake za taulo bila kutanguliza boxer ndani.
Bwahahahahahahahaaaa
Huyu ndugu yangu huwa ananipa burudani tu.
Wape pole wenzako
Huyu jamaa yako ndio maana anachapika kwa ban kila kukicha yaani anaropoka kama kalishwa usembe vile kwa mwendo huu atabadiri majina kila siku kama nywele vile, anashindwa kujizuia hizo sarakasi zake za taulo bila kutanguliza boxer ndani.
Nasubiri droo ya nusu itakavyokuwa, sitamani kabisa kupangwa na A.madrid jamaa hawasomeki kabisa lkn Chelsea na Bayern ni wakawaida sana nikipewa hao safari ya Lisbon ni nyeupe kabisa.
naomba unitafsirie tafadhali.haya mndengereko...
Wenzio wanasema "chamlago kidala...mela mate ugone".