madrid bila Ronaldo ni sawa na gagulo bila 'pichu'...ukija upepo tu basi umebaki uchi.
Na yule Abdalah Pepe yaani hana hata nafasi kwenye chama langu tukufu la mchangani yaani Abajalo
Namuonea huruma Martimo,timu ilishafika kwenye peak Pep akaamua kukimbia,matumaini yamebaki Copa Del Rey next week.Morinyo alikuwa sawa kusema hii ndio Barca mbovu
Ukweli ni kwamba, Martimo is not the right Coach for Barca, Barca inahitaji coach mpya Aisee...
Martimo sio kocha mbaya na alianza vizuri sana hapo Barca,tatizo kubwa management walifanya makosa kutosajili wachezaji wanaohitajika hasa defence na wachezaji wengi wamechoka baada ya kucheza mechi nyingi mfululizo(Valdez,Alves,Pique,Iniesta,Busquet,Xavi,Messi) wamecheza mfululizo karibu misimu 5 mfululizo
Sijamaanisha kwamba hawastahili kichezea Barca,wamecheza kikosi cha kwanza na timu ya taifa miaka 5 mfululizo so ni ngumu sana kucheza kwa viwango vya juu kwa miaka yote mfululizo Pep,Villanova wote walikuwa hawafanyi rotation.
Kama ulivyosema Barca walikuwa na tatizo la defence muda mrefu but walikuwa na viungo wazuri ambao walikuwa wanaficha weakness ya defence now viungo wamechoka ubovu unaonekana waziwazi
Hao watoto unaowasema hawawezi kufit kwenye system ndani ya muda mfupi,kumbuka kina Messi,Busquet,Pedro walikuta wakongwe wengi wakaingia kwenye system taratibu
naomba unitafsirie tafadhali.
Mkuu, tunaambiwa kwenye maandiko ya dini kuwa Mwenyezi Mungu alipumzika siku ya saba. Tunapunguza kasi kwa ajili ya kombe la dunia, huu ni ukweli Barca wachezaji wake takriban wote huchezea timu zao za taifa kasoro TZ tu hatunae.

Hakuna lolote, me nauliza Barcelona Football Club unanihibu na mambo ya World Cup. Hata wachezaji takribani wote wa Bayern Munich wataenda world cup
Acha mbwelambwela bana na ukubali tu hakuna marefu yasiyo na ncha, hadi kateam kajuzi Granada kamewafanya mbaya, na hapa utasema ni world cup au Euro?
Mwaka huu hawatogusa kombe lolote labda la kahawa japo nawatakia ushindi kwenye mechi yao ya mwisho zida ya Atletico Madrid, au nao watakuwa kama ile timu ya msomali aka mambumbumbu bora abebe ndoo rambaramba kuliko yeboyebo?
Kesho kutwa mtawafunga? Maana na nyie bila CR7 ni sawa na gari bila suka
Hilo nalo neno lkn in sha Allah tutafanyiwa wepesi tuwatwange hawa, si unajua bondia mzoefu ukishaona mpinzani ana cutting juu ya jicho unarenga hapohapo kulazimisha technical knock out? Bado wana udwanzi wa vipigo nasi tutazidi kuwavuruga subiri uone mdau, siko hiyo ntakodisha washangiriaji lazima nimlete Shifta hapa na doli lake la GC wapige sambasoti za maana na kitaulo chake.
Hilo nalo neno lkn in sha Allah tutafanyiwa wepesi tuwatwange hawa, si unajua bondia mzoefu ukishaona mpinzani ana cutting juu ya jicho unarenga hapohapo kulazimisha technical knock out? Bado wana udwanzi wa vipigo nasi tutazidi kuwavuruga subiri uone mdau, siko hiyo ntakodisha washangiriaji lazima nimlete Shifta hapa na doli lake la GC wapige sambasoti za maana na kitaulo chake.
Mkuu, tunaambiwa kwenye maandiko ya dini kuwa Mwenyezi Mungu alipumzika siku ya saba. Tunapunguza kasi kwa ajili ya kombe la dunia, huu ni ukweli Barca wachezaji wake takriban wote huchezea timu zao za taifa kasoro TZ tu hatunae.
shaka ondoa muungwana