Mwanakulipata
JF-Expert Member
- Jul 17, 2018
- 714
- 1,193
Ansufati katisha sana
Yaani dogo katika umri chini ya 18 kashapata namba first 11 tayari tena Barcelona
Dogo katisha sanaDogo future inamsubiri.. yupo serious sana
So what! Tutolee usomi uchwara hapaKwani nyie si mna mechi leo?
Dua za kuku hiziLeo mnakaa nyie
Wewe endelea kutulia ivyo ivyo leo mnakaa kwenu.Dua za kuku hizi
Ina saidia nini kama mnadundwa?Ansu Fati....
✓ Youngest scorer in Barcelona history
✓ Youngest scorer in #UCL history
✓ Youngest scorer in Spain's history
✓ Youngest scorer in #ElClásico
Wewe endelea kutulia ivyo ivyo leo mnakaa kwenu.
Leo dua la kuku limempata Mwewe.Dua za kuku hizi
Timu bovu wao wanakaza shingo tu. Sema pia leo Madrid alikosa umakini tu Barca alikua analala goli nyingi zaidiNadhani kama kuna watu wenye roho ngumu ni mashabiki wa barca. Ukiangalia miaka mitatu mfulululizo barca imekua ikipigwa kutokana na ukuta kua mbovu, lakini kwenye usajili wanahangaika na safu ya ushambuliaji.
Kwa timu hii kipigo cha goli nane hakijaisha.
Timu bovu wao wanakaza shingo tu. Sema pia leo Madrid alikosa umakini tu Barca alikua analala goli nyingi zaidi
Sikuhizi tukidundwa nacheka sana hv nashindwa kuelewa tumerogwa ama yaan ukuta wetu ni takataka dah halafu nashindwa kumuelewa griezman anachezaga nini why tusimuuze hata wolves yaani tunamuacha Suarez tunambakiza braithware dah tunapitia wakati mgumu sana karaha iliojeNadhani kama kuna watu wenye roho ngumu ni mashabiki wa barca. Ukiangalia miaka mitatu mfulululizo barca imekua ikipigwa kutokana na ukuta kua mbovu, lakini kwenye usajili wanahangaika na safu ya ushambuliaji.
Kwa timu hii kipigo cha goli nane hakijaisha.