Yes, game ya Galatasaray team ilikosa balance kabisa sababu hakuanza. Nawaonea huruma kwa kinachoenda kuwakuta this Thursday.Hii Barca for now it may be too late-but msimu ujao we will be fighting for honours Spain.Magazeti ya Spain leo yanamjadili Dani Alves,inakuaje hii position Barca inawasumbua sana lakini yeye anaimudu bila jitahada kubwa? je ni genes za Barca ndio zinamsaidia au ni bahati tu? Dani amesema mbele yake kumekamilika bila hivyo yeye mwenyewe angekuwa anapanda kama afanyavo Jordy Alba. Mjadala mwingine ni kuhusu Busquets- wanasema midfielders wengine wote watapigwa rotation lakini huyu ndio engine yenyewe.
Ndio swala la msingi.Visca el barca[emoji123]El classico leo tunachukua point 3 muhimu
Barcelona tutashinda kama tutaweza umiliki mpira in the middle of the park-hapo kati tuki wa overwhelm Madrid we win-i have this gut feeling it is what we will do today- lets pray and hope for the best and at the end danceEl classico leo tunachukua point 3 muhimu
Cjui ila hawa madridista katika midfield battle leo kuwashinda ni miujiza yanBarcelona tutashinda kama tutaweza umiliki mpira in the middle of the park-hapo kati tuki wa overwhelm Madrid we win-i have this gut feeling it is what we will do today- lets pray and hope for the best and at the end dance
Ndo ivo sasa tuna auba alf benchi kuna de jong[emoji28] maisha hàya tuyaache tuTungekuwa na Aguero au Suarez tungekuwa tunaongea mada nyingine hapa