jackline1
JF-Expert Member
- Oct 11, 2012
- 2,142
- 2,688
Hii Barca for now it may be too late-but msimu ujao we will be fighting for honours Spain.Magazeti ya Spain leo yanamjadili Dani Alves,inakuaje hii position Barca inawasumbua sana lakini yeye anaimudu bila jitahada kubwa? je ni genes za Barca ndio zinamsaidia au ni bahati tu? Dani amesema mbele yake kumekamilika bila hivyo yeye mwenyewe angekuwa anapanda kama afanyavo Jordy Alba. Mjadala mwingine ni kuhusu Busquets- wanasema midfielders wengine wote watapigwa rotation lakini huyu ndio engine yenyewe.