FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Hii Barca for now it may be too late-but msimu ujao we will be fighting for honours Spain.Magazeti ya Spain leo yanamjadili Dani Alves,inakuaje hii position Barca inawasumbua sana lakini yeye anaimudu bila jitahada kubwa? je ni genes za Barca ndio zinamsaidia au ni bahati tu? Dani amesema mbele yake kumekamilika bila hivyo yeye mwenyewe angekuwa anapanda kama afanyavo Jordy Alba. Mjadala mwingine ni kuhusu Busquets- wanasema midfielders wengine wote watapigwa rotation lakini huyu ndio engine yenyewe.
 
Yes, game ya Galatasaray team ilikosa balance kabisa sababu hakuanza. Nawaonea huruma kwa kinachoenda kuwakuta this Thursday.

sioni kama tunakosa kombe la Europa. Sioni kabisa
 
Dakika ya 3 sasa, madrid anahemea juu juu.

Real Madrid 0 Barca 0

Bernabeu
 
Barcelona tutashinda kama tutaweza umiliki mpira in the middle of the park-hapo kati tuki wa overwhelm Madrid we win-i have this gut feeling it is what we will do today- lets pray and hope for the best and at the end dance
Cjui ila hawa madridista katika midfield battle leo kuwashinda ni miujiza yan
 
Back
Top Bottom