Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 3,876
- 7,118
Dah kwa game ya jana Bayern alikua anakaa vizuri sana ila ndo hivo football is always full of surprises ngoja tuone next gameMpira sometimes una matikeo ya kikatili sana hasa kwenye hii tournament (UEFA),usipokuwa clinical golini kwa mpinzani opponent atapata chance atakuazibu ndo kilichotokea jana.Team played well ni lack of composure + kuwa clinical kule mbele.Bayern anafungika hope tunaweza kupata matokeo camp nou.Visca barca...
For sure huyu kocha wao Naiglessman mbinu zake haziendani na namna Bayern Munich asili ya uchezaji wake ilivyo naona ni vile tu attributes na quality za baadhi ya players zinambebaIla Bayern Ina shida mahali si bure licha ya kushinda.
Alonso na Christensen sijawahi kuwaelewa kabisa.Kukosekana kwa Araujo kwenye defense yetu ni pigo kubwa kwenye mechi muhimu kama hii. Itakua nafuu kidogo kama wataanza Pique na Garcia angalau kidogo wanafahamiana. Kuwategemea wageni akina Alonso na Christiansen pekee inakua too risky!
Ushindi wetu uko mbele pale. Front line yetu inatakiwa kua makini sana na kutumia vyema nafasi zote zitakazopatikana. They need to compensate what we lack in our defense.
Visca Barca!
Mimi Alonso namuelewa kiasi, nahisi anahitaji muda. Christiansen sikuwahi kumzingatia kabla hatujamsajili. Ila kwa Belerin, nadhani tumepata mtu sahihi upande ule.Alonso na Christensen sijawahi kuwaelewa kabisa.
Xavi akiondoa uspanish atawin unamuacha kesi unamuweka Gavi, balde unamuweka Alonso, Raphina pia simuelewi kabisaBarcenyeto mnacheza kama mpo period [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]