FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Ukuta wa bayern leo umepwaya sana. Kama sio makosa ya washambuliaji wetu mpaka sasa tungekuwa tunahesabu 3 bila

asanteee mkuu.. kwa kuongezea timu nzima ilikua inacheza kama watoto.. hawana malengo wala nini sema ndo vile tu ALONSO kawabeba sana.

kwangu kukupiga risasi sio shida.. na leo nilikua napita na Pep ama Boateng (unacheza kama shoga bhana!?).. nampa ya kichwa akalale pema, anatuletea za kuleta hapa shenzi kabisa.

hongereni Barca.
 


Mkuu hiyo hongera hainistahili kwa kuwa napenda Arsenal peke yake ulaya.
 

Ahsante sana, mkuu wewe ni wa kiume au wa kike? Kama wa kike chukua busu, muah muah!!!! Lala salama.
 
Last edited by a moderator:
Tatu bila ni Mount Everest kabisa sijui kama Beyern Munich wataweza kuupanda mlima huu next week.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…