Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Neymar ndo habari ya soccer kwa sasa,
Bayern kwisne, kupata goli 5 ndani ya dk 66 ni ngumu mno
la ugenini umelisahau?hapo ni 1-520' Mins Bayen 1 Barca 1 | Agg(1-4)
Bennatia 7' Min (bayern)
Neymar 15' Min (barca)
la ugenini umelisahau?hapo ni 1-5
nilisema Bayern ataji commit-na ndio downfall yakeHII mechi Bayern atataka ku park kwenye goal la Barca,ata commit watu mbele-punde akifanya hivyo huku nyuma kutakuwa na gaps kibao-sipati picha hapo Neymar,Messi na Suarez watamfanya kitu gani? ukitaka kuona end to end stuff basi hii mechi sio ya kukosa kuangalia
guardiola mimi namuogopa kuliko mourinho kwanza pep hana maneno mengi ila mourinho anaongea sana vitendo kidogo