Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
Goli la pili lipi wakati mpaka sasa Bayern kishakula 2-1?? Au hujui nini maana ya goli??
Huyu Roy Kean enzi nzile man U,naye alitisha,ila huu utatu wa wa kina Messi unalipa sanaRoy keane anasema give Messi,Neymar and Suarez time and space,they will hurt you
kukosekana kwa goal tecnology kumewanyima Bayern bao. Lile ni goal dhairi kipindi cha kwanza.
kakiimbia sana asije suffer burnout tukaumia mechi zinazokujaKwa nn wamemtoa tena suarez hu utatu ni shidah
kukosekana kwa goal tecnology kumewanyima Bayern bao. Lile ni goal dhairi kipindi cha kwanza.
Kuna goal ambalo goalkeeper wa Barça kaokoa but mashabiki wa Real wanadai lilikiwa Goal wananipa tabu mdau nipe maelezo ya kushiba
Always barca hua haina beki nzuri,inajilinda kwa mfumo wa kuposses sana mpira,hiv vermalen stl yuko injury au anasugua bench?
Shem.... asipufunga Messaya sitaangalia fainali Vs Juventus
Kuna goal ambalo goalkeeper wa Barça kaokoa but mashabiki wa Real wanadai lilikiwa Goal wananipa tabu mdau nipe maelezo ya kushiba