It's pain kuna match huwaga ni za kijinga sana na zinatia hasira mno, okey still record maintain pale tunapokuwa tukiongoza ligi zaidi ya point kumi mbele zidi ya RM El Classico huwa hatushindi doooohhhhh!!!! Haka kajipu itabidi tumuite Magu atusaidie kutumbua.
Hahahhahaha bana Weee acha hizo ni visingizio tu,anyway kinachomata sana ni ushindi haijalishi ni mnene au mwembamba,kwa me hi ya Leo Barca ijilaumu tu......uwiiiii haya yashapita tugange yajayo.Napenda Avatar yako. Umependeza kama mbongo movie. Nimemsikia Pique anasema wamefungwa kwasababu Ramos kapewa red card, kwahiyo formation yao imeharibika. Kama mwenzangu umemuelewa naomba ufafanuzi kidogo, teh teh teh!
labda dhamira ingewasuta. jamii ingewaona mabully, kicking a dead man!!. bado mechi 7 tuchukue kombe letu. katika hizo tuna Betis, Granada, gjon na jamaa zetu Espanyol.Napenda Avatar yako. Umependeza kama mbongo movie. Nimemsikia Pique anasema wamefungwa kwasababu Ramos kapewa red card, kwahiyo formation yao imeharibika. Nashindwa kumuelewa,ila kama mwenzangu umemuelewa naomba ufafanuzi kidogo, teh teh teh!
Vipi Wangu nawe Timu popo km mimi? Haha tushukuru kwa yote siku hazilingani......labda dhamira ingewasuta. jamii ingewaona mabully, kicking a dead man!!. bado mechi 7 tuchukue kombe letu. katika hizo tuna Betis, Granada, gjon na jamaa zetu Espanyol.
labda dhamira ingewasuta. jamii ingewaona mabully, kicking a dead man!!. bado mechi 7 tuchukue kombe letu. katika hizo tuna Betis, Granada, gjon na jamaa zetu Espanyol.
Tatizo lenu la beki toka aondoke puyol hakuna mkungu mwingine mlioupata ila siri inafichwa coz most of the time mnamiliki mpira ikitokea game kama hizi ndo mnatahayari.Jambo la msingi mpate mtu wa kati pale kitasa cha nguvu.kwanza tumekubali kufungwa ila kila kitu kinakuja na sababu tulipopoteza zile chansi mbili za mwanzo tulifanya mistake pasi kutoka kwa neymar to suarez na uroho kutoka kwa messi basi tangu kipindi cha mwanzo gem ilikua tumesha imaliza ila asie kubali kushindwa si mshindani tumeshindwa na uzembe pia umechangia ukiangalia real madrid kipindi cha kwanza hawaja cheza mpira kipindi cha pili walikuja kuamka baada ya pique kutupia hapo ndio wakaanza mashambulio nasema tena bado tuna tatizo la beki pale barcelone na sijui kama tutalipatia ufumbuzi lazima uongozi walishuhulikie hili visca barca visca catalunya
Worldcup ya 2006 ulikuwa robo fainali Brazil lichapwa 1-0 Zizzou ni nomaNakumbuka world cup moja ivi wakati ronaldihno yuko on fire zizzou alimpiga darizi yeye na wenzake na kuwaonyesha hakunaga
Enrique kocha Wa kawaida sana
hakumpiga kanzu Dinho, alimpiga Kanzu Ronaldo De Lima, And kuwa great player hakukufanyi uwe great Coach..Luis Enrique is MILES better katika suala la umanager kuliko Zidane, japo hakuwa mchezaji mzuri zaidi ya zidane..
Enrique kuzidiwa tacticts na zidane ni "dissapointment"