FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

It's pain kuna match huwaga ni za kijinga sana na zinatia hasira mno, okey still record maintain pale tunapokuwa tukiongoza ligi zaidi ya point kumi mbele zidi ya RM El Classico huwa hatushindi doooohhhhh!!!! Haka kajipu itabidi tumuite Magu atusaidie kutumbua.

Napenda Avatar yako. Umependeza kama mbongo movie. Nimemsikia Pique anasema wamefungwa kwasababu Ramos kapewa red card, kwahiyo formation yao imeharibika. Nashindwa kumuelewa,ila kama mwenzangu umemuelewa naomba ufafanuzi kidogo, teh teh teh!
 
Leo nimefurahi sana haya mabeselona kufungwa.... haya mlio nuna mkale limao na ndimu mbaaaaaafu!!!!!
 
654_260200150985302_7206770588030332323_n.jpg
 
Napenda Avatar yako. Umependeza kama mbongo movie. Nimemsikia Pique anasema wamefungwa kwasababu Ramos kapewa red card, kwahiyo formation yao imeharibika. Kama mwenzangu umemuelewa naomba ufafanuzi kidogo, teh teh teh!
Hahahhahaha bana Weee acha hizo ni visingizio tu,anyway kinachomata sana ni ushindi haijalishi ni mnene au mwembamba,kwa me hi ya Leo Barca ijilaumu tu......uwiiiii haya yashapita tugange yajayo.
 
Napenda Avatar yako. Umependeza kama mbongo movie. Nimemsikia Pique anasema wamefungwa kwasababu Ramos kapewa red card, kwahiyo formation yao imeharibika. Nashindwa kumuelewa,ila kama mwenzangu umemuelewa naomba ufafanuzi kidogo, teh teh teh!
labda dhamira ingewasuta. jamii ingewaona mabully, kicking a dead man!!. bado mechi 7 tuchukue kombe letu. katika hizo tuna Betis, Granada, gjon na jamaa zetu Espanyol.
 
kwanza tumekubali kufungwa ila kila kitu kinakuja na sababu tulipopoteza zile chansi mbili za mwanzo tulifanya mistake pasi kutoka kwa neymar to suarez na uroho kutoka kwa messi basi tangu kipindi cha mwanzo gem ilikua tumesha imaliza ila asie kubali kushindwa si mshindani tumeshindwa na uzembe pia umechangia ukiangalia real madrid kipindi cha kwanza hawaja cheza mpira kipindi cha pili walikuja kuamka baada ya pique kutupia hapo ndio wakaanza mashambulio nasema tena bado tuna tatizo la beki pale barcelone na sijui kama tutalipatia ufumbuzi lazima uongozi walishuhulikie hili visca barca visca catalunya
 
labda dhamira ingewasuta. jamii ingewaona mabully, kicking a dead man!!. bado mechi 7 tuchukue kombe letu. katika hizo tuna Betis, Granada, gjon na jamaa zetu Espanyol.

Nice try. Pique is a bully to society and everyone knows. I can't wait to see his next Periscope
 
kutoa droo na villa real na kupigwa leo na madrid inaweza kutupa motisha mechi zilizobaki kukaza buti tuko na tofauti ya point 6 na atletico 7 na madrid bado tunayo nafasi ya kulitetea kombe la laliga gem inayofata itakua ngumu ila kwa vile tunaanza home vs atletico uefa champions league hii gem hatutoruhusu tena kupigwa katika mechi ziliobakia za la liga ni 7 hapo kuna valencia ila kizuri anakuja camp nou kati ya hizo 7 mechi ngumu ni ya valencia , sporting gijon ; na la corunya
wana barca wenzangu punguzeni presha inauma ila piga moyo konde kama ni kisasi real hawaja kilipa kwao 4 bila kwetu
2-1 watasema hatujamfunga zidane haina shida tunampa hongera zidane ila mweshowe wasije kumchukia tunasema hili lishapita tunaangalia lijalo atletico ajitayarishe maana tuna hasira
 
kwanza tumekubali kufungwa ila kila kitu kinakuja na sababu tulipopoteza zile chansi mbili za mwanzo tulifanya mistake pasi kutoka kwa neymar to suarez na uroho kutoka kwa messi basi tangu kipindi cha mwanzo gem ilikua tumesha imaliza ila asie kubali kushindwa si mshindani tumeshindwa na uzembe pia umechangia ukiangalia real madrid kipindi cha kwanza hawaja cheza mpira kipindi cha pili walikuja kuamka baada ya pique kutupia hapo ndio wakaanza mashambulio nasema tena bado tuna tatizo la beki pale barcelone na sijui kama tutalipatia ufumbuzi lazima uongozi walishuhulikie hili visca barca visca catalunya
Tatizo lenu la beki toka aondoke puyol hakuna mkungu mwingine mlioupata ila siri inafichwa coz most of the time mnamiliki mpira ikitokea game kama hizi ndo mnatahayari.Jambo la msingi mpate mtu wa kati pale kitasa cha nguvu.
 
nashangaa sana huyu president wa barca yee hua anakomaa tu na kununua wachezaji wa kati na mbele sijawahi kuona akifuatilia beki akinunua beki basi ujue kesha choka huko aliko anataka aje barca like thomas varmelaein
mzigo wa bure hizi mechi ziliobakia za mwishoni mwa ligi zinakua na upinzani mkubwa maana kila timu inataka kupanda ama iingie top 4 au isishuke daraja na barca tukishaanza kuboronga mechi moja basi zitafika hadi 3 ni kupoteza tuu ila naamini hizo gem ziliobakia hatutofanya kosa visca el barca visca catalunya
 
Nakumbuka world cup moja ivi wakati ronaldihno yuko on fire zizzou alimpiga darizi yeye na wenzake na kuwaonyesha hakunaga
Worldcup ya 2006 ulikuwa robo fainali Brazil lichapwa 1-0 Zizzou ni noma
 
Pique: "Ramos's red card caused Barca defeat, we lost control after that"

Barka logics
 
Back
Top Bottom