FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Siku nzima hukuwepo,umekuja wewe mwenye damu ya man u Barca tumefungwa
hahaha nuksi zenu tuu. Chezea Cr7 wew
pacha pole baki njia kuu
Tusubir dk 45 ziamue magoli Mangap Barcelona wapate japo ushindi kwetu lazma
.zimeisha hizo dkk au bado?
Woyoooooooooooooooooooooooooo piga mbwaaaaaaaaaaaa
the the teh
Madrid wanataman mpiea uishe.
hurereeeee
.sipati picha ulivyosinyaa
Ahahahahahahahahahahahahaha unakuwa kama cute b shabiki wa man u na everlenk maana hawa kwao ushamba haukauki.
wew sisi kingreza hakitusumbui
Madrid hawez toka
.Barcelona ni team ndogo
Madrid wameanza rafu wakipewa red watasema tunabebwa
bwahahahahahahaha
 
By the way huyo jamaa Ni maandazi tu mpira aujue wapi? Katoka kwao bush kaja hapa kasikia Messi na yeye anatuleteaga kelele tu humu
Hahahahaha kazi ipo aisee. Ngoja tuone kama ataacha kushabikia mpira
 
Bashalona Mkubwa yule...
Kajificha, akashabikie rede + mdako sasa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
PNC 1 kabakwa ndani ya Nou Camp sasa hivi anapatikana kwenye threads za udaku, amekuwa Shabiki wa Madam Sepetu
 
Hahahahaah...mama wa vigodoro naona unafanya yako kwenye jukwaa la wahanga wa BBC
Wasumbufu sana hawa team ndogo. Wameanza shabikia barca juzi wanasumbuuuua. Hujamwona PNC 1 huko?
Nimekumiss sana sana yaan saaaaaaaana
 
Kwani mashabiki wa Real Madrid hapa mnafata nini[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kwani mashabiki wa Real Madrid hapa mnafata nini[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hapa kuna msiba kwani huoni? Tumekuja kutoa salamu za rambi rambi kutoka kwa Ronaldo.
 
Tushapoa bibie kufungwa mbili kawaida tu japo mmebebwa, king kanyimwa penalt ya wazi kabisa kadi za njano zimetolewa bila sbb
Acheni kulia lia mlijua na jana mngebebwa sio? Poyeeeeeeeeeeeeeeeeee
Naona bado hujapoa. Cr7 amewafanya nini vile maana niliona anatoka kwenu na boxer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…