Tushapoa bibie kufungwa mbili kawaida tu japo mmebebwa, king kanyimwa penalt ya wazi kabisa kadi za njano zimetolewa bila sbb
Kwa taarifa yako Atletico Madrid ndo bogey team ya wababe wa Spain. Hom na away sioni mkochomoka, Simeone ni mtaalam wa knock out na Atletico kwa ujumla ni wapambanaji, wakiamua kukukaba mpaka kivuli wanafanya hivyo na mtapoteana tu.forca barca forca barca, tarehe 5 wiki ijayo tunaenda kupambana na vibonde wetu athletic Madrid na tutampa kipigo km tulivomkaribisha Mourinho na benitez na kwa Hakika Diego simeone atapatwa presha, kutetemeka na kukojoa golini km alivofanya kocha bora wa miaka yote wa man utd bwana Sir Alex Ferguson. VAMOS BARCA.
Acha kuongea uongo kiongozi, athletic Madrid ni kiboko ya real Madrid sio barca. Nimempiga nje ndani kwenye LA LIGA, na nimemtoa knock out nje ndani nimemuua uyo mbwa athletic Madrid kwenye copa de ra lay na game yao iyo iyo unayoiita ya kudefense. Na kesho kutwa nampa kipigo cha mbwa mwizi yan namuua kabisa, we andaa machela siku iyo mana Diego Simeone atapata presha na kiharusi cha ghafla km Mzee wenu Ferguson. Vamoc barca.Kwa taarifa yako Atletico Madrid ndo bogey team ya wababe wa Spain. Hom na away sioni mkochomoka, Simeone ni mtaalam wa knock out na Atletico kwa ujumla ni wapambanaji, wakiamua kukukaba mpaka kivuli wanafanya hivyo an mtapoteana tu.
Wapi PNC, natumai unatafuta id nyingine.
Nahifadhi hii comment yako! Atletico toka mmeifunga hiyo nje ndani mengi yamebadilika. Wao wanapanda nyie mnashuka.Acha kuongea uongo kiongozi, athletic Madrid ni kiboko ya real Madrid sio barca. Nimempiga nje ndani kwenye LA LIGA, na nimemtoa knock out nje ndani nimemuua uyo mbwa athletic Madrid na game yao iyo iyo unayoiita ya kudefense. Na kesho kutwa nampa kipigo cha mbwa mwizi yan namuua kabisa, we andaa machela siku iyo mana Diego Simeone atapata presha na kiharusi cha ghafla km Mzee wenu Ferguson. Vamoc barca.
Nahifadhi hii comment yako! Atletico toka mmeifunga hiyo nje ndani mengi yamebadilika. Wao wanapanda nyie mnashuka.
Huu ndo ukweli, na endapo mtapendelewa mkatusua kwa Atletico, mziki wa Buyern hamuuwezi.
Kukimbia dk 90 na mpira sio gemu yenu.
Alafu ukweli ni kwamba, barca ukimzuia Messi, na Iniesta, timu haiendi. Neymar na Suarez wanacheza endapo mmoja wa messi au iniesta yuko mchezoni au wote!
Kilichofanywa jana na zidane, tegemea mara mbili ya hicho toka kwa Simeone.
wee acha pumba zako hizo unataka kusema kadi alopewa ramos kaonewa wakati ilikua ni kadi ya 2 ya njano ramos anajulikana kwa kucheza rafu unajidai eti refa alikua anapendelea barca wakati kipindi cha mwanzo suarez alikua yuko on side anaenda kufunga refa kapuliza kipenga eti offside tusijadili sana tumesha fungwa tuna angalia gem inayokuja tukishinda semeni uefalona tukifungwa hatuna plan b tumesha wazoeya ma anti barca visca barca visca catalunyaBarcelona hawana plan B, nimetambua hiki kitu. Wao ni tik tak, wakibanwa hapo kwisha habari yake. Jama kipindi cha pili waliwekwa ktk unchartered territory kwao, hawajazoea kuwa under pressure hivyo walikuwa wakipanik, na refa alivyowabeba na kumpa kadi Ramos, walitegemea R. Madrid wangefyata mkia matokeo yake Madrid ndo wakakaza nati zaidi, barca wakabaki wanashangaa kulikoni hawa jamaa?
Nakumbuka gemu ya Atletico Madrid pale Camp Nou ya mwisho, jamaa walikuwa 9 kwa 11 na Barcelona walishinda kwa tabu sana. Hawana plan B.
forca barca forca barca, tarehe 5 wiki ijayo tunaenda kupambana na vibonde wetu athletic Madrid na tutampa kipigo km tulivomkaribisha Mourinho na benitez na kwa Hakika Diego simeone atapatwa presha, kutetemeka na kukojoa golini km alivofanya kocha bora wa miaka yote wa man utd bwana Sir Alex Ferguson. VAMOS BARCA.
hahahaa mbinu ya zidane ni kama amecopy kutoka kwa Diego simeone, simeone aliitumia sana kipindi anachukua ubingwa akikutana na barca. Mtaalamu José Enrique akakaa chini akamodify kidogo tik tak taratibu athletic Madrid akawa anakula za USO ad Diego simeone akadai barca ni wa sayari nyingine kwa kabumbu wanalopiga. Huwezi kushinda mechi zote mkuu iyo jana tulifungwa km timu zinazofungwa, sema tatizo hujazoea Blaugrana kufungwa ndo mana ingekua arsenal, man utd , Madrid kafungwa usingeshangaa sana.Nahifadhi hii comment yako! Atletico toka mmeifunga hiyo nje ndani mengi yamebadilika. Wao wanapanda nyie mnashuka.
Huu ndo ukweli, na endapo mtapendelewa mkatusua kwa Atletico, mziki wa Buyern hamuuwezi.
Kukimbia dk 90 na mpira sio gemu yenu.
Alafu ukweli ni kwamba, barca ukimzuia Messi, na Iniesta, timu haiendi. Neymar na Suarez wanacheza endapo mmoja wa messi au iniesta yuko mchezoni au wote!
Kilichofanywa jana na zidane, tegemea mara mbili ya hicho toka kwa Simeone.
Suarez ni striker mzuri ila ni DIVER mzuri sana! Jana hamna kitu ambacho barca walionewa, maamuzi yalikuwa sahihi kabisa! Na ilitakiwa mpigwe tatu!wee acha pumba zako hizo unataka kusema kadi alopewa ramos kaonewa wakati ilikua ni kadi ya 2 ya njano ramos anajulikana kwa kucheza rafu unajidai eti refa alikua anapendelea barca wakati kipindi cha mwanzo suarez alikua yuko on side anaenda kufunga refa kapuliza kipenga eti offside tusijadili sana tumesha fungwa tuna angalia gem inayokuja tukishinda semeni uefalona tukifungwa hatuna plan b tumesha wazoeya ma anti barca visca barca visca catalunya
Sasa kumbe wajua kuwa R. Madrid walitumia mbinu za A. Madrid ambaye mnakutana nae keshokutwa? Vizuri.hahahaa mbinu ya zidane ni kama amecopy kutoka kwa Diego simeone, simeone aliitumia sana kipindi anachukua ubingwa akikutana na barca. Mtaalamu José Enrique akakaa chini akamodify kidogo tik tak taratibu athletic Madrid akawa anakula za USO ad Diego simeone akadai barca ni wa sayari nyingine kwa kabumbu wanalopiga. Huwezi kushinda mechi zote mkuu iyo jana tulifungwa km timu zinazofungwa, sema tatizo hujazoea Blaugrana kufungwa ndo mana ingekua arsenal, man utd , Madrid kafungwa usingeshangaa sana.
nimekuzidi point unaanza tafuta typing error hahhahaha aya inaitwa atletico Madrid, tafuta lingine af hakuna sehemu nimesema simeone ni kocha wa Bilbao ilo swali umejitungia na umejijibu mwenyewe.We waache wenzio usiwaletee kelele humu wamepakatwa nyumbani kwao. Kama hujui kitu Bora kunyamaza kuliko kuandika magazeti yasio na maana. Kwa taarifa yako, Athletic Madrid doesn't exist na Simeone hajawahi kufundisha Athletic Bilbao
Mbona na nyie siku zote mna nyodo + mashauzi km mbuziForca barca, akifungwa barca inakua habari ya mjini ila vibonde kama arsenal, Chelsea, man utd, real Madrid akifungwa ni kawaida yao. So ongeeni mana Mara ya mwisho kuskia Barcelona kafungwa ilikua mwaka Jana ivo mmeumia siku nyingi sana na donda LA roho ndugu zangu. Eti barca hana plan B kwahiyo mechi zote izo alizoshinda alikua na plan moja pekee, kufungwa kawaida mbona huwezi ukacheza Mpira siku zote usifungwe.