....nyie watoto wa mama,ndo huwa mnajidai hamuendi kwenye thread za wengine,leo ndio mmeijua maana ya futbol sio,huwezi kuwa shabiki ukajifungia chumbani km mnavyojidaigi,Barca akipigwa km mna ubavu njooni huku mzingue,na sisi mkipigwa tutakuja kwenu km kawa,hii ndio ladha ya futbol,futbol sio kujifungia chumbani,waambie na wenzio,msiogope kuchekwa,yote huja na kupita!Endelea kuweka kumbukumbu! Dozi inaendelea.
Naona leo akili inafanya kazi,waite na wale wenzio waliojificha maana umebaki peke yako....nyie watoto wa mama,ndo huwa mnajidai hamuendi kwenye thread za wengine,leo ndio mmeijua maana ya futbol sio,huwezi kuwa shabiki ukajifungia chumbani km mnavyojidaigi,Barca akipigwa km mna ubavu njooni huku mzingue,na sisi mkipigwa tutakuja kwenu km kawa,hii ndio ladha ya futbol,futbol sio kujifungia chumbani,waambie na wenzio,msiogope kuchekwa,yote huja na kupita!
Kocha Luis Enrique sio kwamba alidharau mechi bali Barca mmeanza kupoteza direction,ile juzi bila ya ujinga wa El nino Torres kupewa red mlikuwa mnakaa pale pale nou camp.tatizo tumeanza wadhaifu. tumeanza bila Rakitic, Iniesta na Alba bila kumsahau Suarez. kocha ni kama alidharau mechi.
mimi ni CHELSEA DIE HARD FAN, SINA TIMU HUKO LALIGA, BUNDESLIGA,...kama Arsenal wanazingua,unaangalia mpira uko wapi unaufata,haiwezi kuwa kesi,ni moyo tu!,eti,kwani wewe ni Atletico Madrid?!
...hamna anaejificha hapa,labda aliyeanza kuujua mpira jana!Naona leo akili inafanya kazi,waite na wale wenzio waliojificha maana umebaki peke yako
Kama ni kosa kwenda kwa mtu kushabikia anapofungwa basi kwenye Game za Atletico na Barca mashabiki wa Barca wasipewe nafasi ya kuingia uwanjani.....nyie watoto wa mama,ndo huwa mnajidai hamuendi kwenye thread za wengine,leo ndio mmeijua maana ya futbol sio,huwezi kuwa shabiki ukajifungia chumbani km mnavyojidaigi,Barca akipigwa km mna ubavu njooni huku mzingue,na sisi mkipigwa tutakuja kwenu km kawa,hii ndio ladha ya futbol,futbol sio kujifungia chumbani,waambie na wenzio,msiogope kuchekwa,yote huja na kupita!
Ofkoz aliichukulia ngumu ila hakuwa na budi kuwaweka nje akina Iniesta, Rakitic na Alba. Game yao UEFA ni muhimu na ngumu kuliko hii ya League, amefungwa na bado anaongoza, hata akifungwa Game ijayo ktk League bado ataongoza tena kwa tofautu ya magoli.Kocha Luis Enrique sio kwamba alidharau mechi bali Barca mmeanza kupoteza direction,ile juzi bila ya ujinga wa El nino Torres kupewa red mlikuwa mnakaa pale pale nou camp.
Ni kwamba barca haijashinda nyumbani kwa real sociedad since 2007 enzi za Frank Rijkaard. Sasa kwa record hiyo utachukuliaje game kirahisi rahisi.
Upo?
Another plastic fan,Ofkoz aliichukulia ngumu ila hakuwa na budi kuwaweka nje akina Iniesta, Rakitic na Alba. Game yao UEFA ni muhimu na ngumu kuliko hii ya League, amefungwa na bado anaongoza, hata akifungwa Game ijayo ktk League bado ataongoza tena kwa tofautu ya magoli.
Bora ume-comfirm kabisa mashabiki wenzako wengi wameanza kuujua mpira jana (plastic fans/glory hunters)...hamna anaejificha hapa,labda aliyeanza kuujua mpira jana!
Nashkuru, mimi sijashika hizo taratibu kwa kila taifa, hata hesabu za UEFA juu ya away Goal zinansumbua.Another plastic fan,
Spain (La Liga ) wanaangalia head to head kabla ya goal difference
Mkuu usihangaike na hawa mashabiki wa mkopo kutoka aseno ya EPL, hakuna wanachojua, wao wANASHANGILIA TU USHINDI, WASIPOSHINDA NDIO KAMA HIVI WAMEPOTEA HAWAONEKANI!Another plastic fan,
Spain (La Liga ) wanaangalia head to head kabla ya goal difference
...sidhani km umenielewa?!,"labda"!Bora ume-comfirm kabisa mashabiki wenzako wengi wameanza kuujua mpira jana (plastic fans/glory hunters)
Hata mimi sitaacha kuishabakia Manchester Unitedsijawai kuwa Arsenal liverpool wala timu yeyote ile ya epl mimi ni BARCELONA na sitoacha ishabikia BARCELONAAAAA kwa kuwa NAIPENDA BARCELONA na kuhusu kupoteza ile ni kama asili dhidi ya uwanja wa Anoeta hvyo mawazo yetu ni kwenda kumfunga Atletico kwao sasa kwa BARCELONA MTASUBIRI SAAAANA NA BADO.
h aaahahahahhahahahahaa watu wanajisifia mafanikio na soka safi nyie mnajisifia 3;0 in 6 minutesHata mimi sitaacha kuishabakia Manchester United
Kwani Man united haina mafanikio au?h aaahahahahhahahahahaa watu wanajisifia mafanikio na soka safi nyie mnajisifia 3;0 in 6 minutes
niwekee mafanikio ya man u miaka kumi iliyopita nami nikuwekee ya kwangu ya miaka mitatu uliopita ili tulinganishe VIVA BARCELONAKwani Man united haina mafanikio au?
Mbona nyie mlishindwa kuwafunga Madrid wakiwa pungufu
Ngoja nijapange nitakuwekeaniwekee mafanikio ya man u miaka kumi iliyopita nami nikuwekee ya kwangu ya miaka mitatu uliopita ili tulinganishe VIVA BARCELONA