FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Endelea kuweka kumbukumbu! Dozi inaendelea.
....nyie watoto wa mama,ndo huwa mnajidai hamuendi kwenye thread za wengine,leo ndio mmeijua maana ya futbol sio,huwezi kuwa shabiki ukajifungia chumbani km mnavyojidaigi,Barca akipigwa km mna ubavu njooni huku mzingue,na sisi mkipigwa tutakuja kwenu km kawa,hii ndio ladha ya futbol,futbol sio kujifungia chumbani,waambie na wenzio,msiogope kuchekwa,yote huja na kupita!
 
Naona leo akili inafanya kazi,waite na wale wenzio waliojificha maana umebaki peke yako
 
tatizo tumeanza wadhaifu. tumeanza bila Rakitic, Iniesta na Alba bila kumsahau Suarez. kocha ni kama alidharau mechi.
Kocha Luis Enrique sio kwamba alidharau mechi bali Barca mmeanza kupoteza direction,ile juzi bila ya ujinga wa El nino Torres kupewa red mlikuwa mnakaa pale pale nou camp.

Ni kwamba barca haijashinda nyumbani kwa real sociedad since 2007 enzi za Frank Rijkaard. Sasa kwa record hiyo utachukuliaje game kirahisi rahisi.
Upo?
 
bado tuna nafasi ya kulitetea kombe la liga tupo juu ya 3 na atm na 4 RM na usitegemee hao atletico kua mech ziliyobaki watashinda zote na hata real bado wana kazi ngumu wanakuja kucheza na hawa real sociadad na atm wanakuja kukipiga na athletic bilbao na real tena wanakuja kukipiga na villa real hao wote ni wagumu
 
...kama Arsenal wanazingua,unaangalia mpira uko wapi unaufata,haiwezi kuwa kesi,ni moyo tu!,eti,kwani wewe ni Atletico Madrid?!
mimi ni CHELSEA DIE HARD FAN, SINA TIMU HUKO LALIGA, BUNDESLIGA,

ILA UKITOKEA MSIBA KAMA HUU SINA BUDI KUJA KUTOA POLE!
 
....nyie watoto wa mama,ndo huwa mnajidai hamuendi kwenye thread za wengine,leo ndio mmeijua maana ya futbol sio,huwezi kuwa shabiki ukajifungia chumbani km mnavyojidaigi,Barca akipigwa km mna ubavu njooni huku mzingue,na sisi mkipigwa tutakuja kwenu km kawa,hii ndio ladha ya futbol,futbol sio kujifungia chumbani,waambie na wenzio,msiogope kuchekwa,yote huja na kupita!
Kama ni kosa kwenda kwa mtu kushabikia anapofungwa basi kwenye Game za Atletico na Barca mashabiki wa Barca wasipewe nafasi ya kuingia uwanjani.

Achana nao hao mkuu, hawajui nini maana ya ushabiki.
 
Kocha Luis Enrique sio kwamba alidharau mechi bali Barca mmeanza kupoteza direction,ile juzi bila ya ujinga wa El nino Torres kupewa red mlikuwa mnakaa pale pale nou camp.

Ni kwamba barca haijashinda nyumbani kwa real sociedad since 2007 enzi za Frank Rijkaard. Sasa kwa record hiyo utachukuliaje game kirahisi rahisi.
Upo?
Ofkoz aliichukulia ngumu ila hakuwa na budi kuwaweka nje akina Iniesta, Rakitic na Alba. Game yao UEFA ni muhimu na ngumu kuliko hii ya League, amefungwa na bado anaongoza, hata akifungwa Game ijayo ktk League bado ataongoza tena kwa tofautu ya magoli.
 
Another plastic fan,
Spain (La Liga ) wanaangalia head to head kabla ya goal difference
 
...hamna anaejificha hapa,labda aliyeanza kuujua mpira jana!
Bora ume-comfirm kabisa mashabiki wenzako wengi wameanza kuujua mpira jana (plastic fans/glory hunters)
 
Another plastic fan,
Spain (La Liga ) wanaangalia head to head kabla ya goal difference
Nashkuru, mimi sijashika hizo taratibu kwa kila taifa, hata hesabu za UEFA juu ya away Goal zinansumbua.
Wakiangalia Head to head bado Atletico anachomoka, kapigwa nje ndani kwenye La Liga na Barca.
 
Another plastic fan,
Spain (La Liga ) wanaangalia head to head kabla ya goal difference
Mkuu usihangaike na hawa mashabiki wa mkopo kutoka aseno ya EPL, hakuna wanachojua, wao wANASHANGILIA TU USHINDI, WASIPOSHINDA NDIO KAMA HIVI WAMEPOTEA HAWAONEKANI!

cc PNC 1
 
sijawai kuwa Arsenal liverpool wala timu yeyote ile ya epl mimi ni BARCELONA na sitoacha ishabikia BARCELONAAAAA kwa kuwa NAIPENDA BARCELONA na kuhusu kupoteza ile ni kama asili dhidi ya uwanja wa Anoeta hvyo mawazo yetu ni kwenda kumfunga Atletico kwao sasa kwa BARCELONA MTASUBIRI SAAAANA NA BADO.
 
Hata mimi sitaacha kuishabakia Manchester United
 
  • Thanks
Reactions: PNC
h aaahahahahhahahahahaa watu wanajisifia mafanikio na soka safi nyie mnajisifia 3;0 in 6 minutes
Kwani Man united haina mafanikio au?

Mbona nyie mlishindwa kuwafunga Madrid wakiwa pungufu
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom