jd41
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,756
- 4,847
....nyie watoto wa mama,ndo huwa mnajidai hamuendi kwenye thread za wengine,leo ndio mmeijua maana ya futbol sio,huwezi kuwa shabiki ukajifungia chumbani km mnavyojidaigi,Barca akipigwa km mna ubavu njooni huku mzingue,na sisi mkipigwa tutakuja kwenu km kawa,hii ndio ladha ya futbol,futbol sio kujifungia chumbani,waambie na wenzio,msiogope kuchekwa,yote huja na kupita!Endelea kuweka kumbukumbu! Dozi inaendelea.