FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Barcelona imetolewa! Hivyo uefa haina ladha yeyote from now, without Barca nothing,,,

mashabiki na wasiokuwa mashabiki wa Barcelona duniani kote hawatojishughulisha na kufuatilia mechi zilizobakia..maana hazina kivutio chochote, coz bila kuwepo baba yao wa familia kila kitu kinaharibika, Poleni sana ma-fans wa baca, best club in the world na itaendelea kushika no1 forever.
 
Hapa nilipo kuna mashabiki wa club mbalimbali wakiwepo wa la liga, serie A, Bundesliga na epl,, nawasikiliza kwa makini wakisema tumesikitika kwa Barcelona BABA WA KLABU DUNIANI katolewa hivyo hakuna sababu ya kuendelea kutazama uefa mpaka pale itakapokwisha, Kwa namna moja ama nyingine We will not pay decoder within one month from the semi-finals...hawa wadau ndiyo maneno yao ninawasikia wakiyazungumza
 
Reactions: PNC
U naona unajitekenya afu unacheka mwenyewe
 
Hiyo point no: 3 Una uhakika?
 
Reactions: PNC
Ujumbe wangu wa leo....





"Bora kukaa bench Barcelona kuliko kuchezea Manchester united"
Hahahahaha Man U inawauwa Wengiii...... Th Name njoo uwaone na wengine huku yaani kalala kaamka anaiwaza Man U......[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Reactions: PNC
Wew ndio umeanza kuipenda Barcelona kabla ya Mpira ndio mana Mpira hauna ladha kwako bila ya Barcelona
Lakin kwa tulioanza kuupenda Mpira kabla ya club mpira haujawah kutokuwa na ladha
 

😀😀Tatizo Mnaongea mnoo, wakati hamjajua kama mtafika final
 
Reactions: PNC
Ni wewe tu na ndo maana tuna mkosi Barca, toka lini Man U ukaipenda na Barca, embu nenda Madris uone kama Barca hatujabeba UEFA mara mbili. Dah, siamini kama tumetoka.

😛😛Hata mimi nawasi-wasi naye sana huyu dada, cku ya mechi akionekana tu humu tumekwenda na maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…