FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Barcelona imetolewa! Hivyo uefa haina ladha yeyote from now, without Barca nothing,,,

mashabiki na wasiokuwa mashabiki wa Barcelona duniani kote hawatojishughulisha na kufuatilia mechi zilizobakia..maana hazina kivutio chochote, coz bila kuwepo baba yao wa familia kila kitu kinaharibika, Poleni sana ma-fans wa baca, best club in the world na itaendelea kushika no1 forever.
 
Hapa nilipo kuna mashabiki wa club mbalimbali wakiwepo wa la liga, serie A, Bundesliga na epl,, nawasikiliza kwa makini wakisema tumesikitika kwa Barcelona BABA WA KLABU DUNIANI katolewa hivyo hakuna sababu ya kuendelea kutazama uefa mpaka pale itakapokwisha, Kwa namna moja ama nyingine We will not pay decoder within one month from the semi-finals...hawa wadau ndiyo maneno yao ninawasikia wakiyazungumza
 
  • Thanks
Reactions: PNC
U

naona unajitekenya afu unacheka mwenyewe
 
SABABU TANO MUHIMU ZA KUJIVUNIA KUIPENDA BARCELONA
1: timu pekee iliyochukua trebo mara mbili
2: timu pekee iliyoongoza wachezaji wake kutwaa uchezaji bora wa dunia mara nyini zaidi
3: timu pekee iliyobeba kombe la UEFA mara nyingi karne hii ya 21
4: timu pekee iliyowaboresha mastar waliotamba zaidi duniani Mf: Maradona De lima Dinho Cruyff n.k
5: TIMU PEKEE INAYOONGOZA KUTWAA JUMLA YA MATAJI YOTE ULAYA tangu 1899 ianzishwe had leo imetwaa makombe zaid ya 85

ZIPO SABABU NYINGI SAAANA ILA HIZO TANO NI BAADHI KATI YA SABABU MILIONI ZA KUIPENDA BARCA TOKANIKIWA NA 5yrs HIVYO WACATALONIA WENZANGU TUJIVUNIE KUWA BARCA hata hawa haters wote kumbukumbu zao zingefutwa kichwani alaf wangeambiwa wachague timu moja hakika wangeigombania Barcelona kama dhahabu
Kufungwa ni mojawapo ya matokeo hvyo SASA NGUVU YETU TUIELEKEZE KWENYE LA LIGA NA COPA DEL RAY

MTI WENYE MATUNDA NDIO UNAOPIGWA MAWE
VIVA BARCELONA
Hiyo point no: 3 Una uhakika?
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Ujumbe wangu wa leo....

"Bora kukaa bench Barcelona kuliko kuchezea Manchester united"
Hahahahaha Man U inawauwa Wengiii...... Th Name njoo uwaone na wengine huku yaani kalala kaamka anaiwaza Man U......[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Barcelona imetolewa! Hivyo uefa haina ladha yeyote from now, without Barca nothing,,,

mashabiki na wasiokuwa mashabiki wa Barcelona duniani kote hawatojishughulisha na kufuatilia mechi zilizobakia..maana hazina kivutio chochote, coz bila kuwepo baba yao wa familia kila kitu kinaharibika, Poleni sana ma-fans wa baca, best club in the world na itaendelea kushika no1 forever.
Wew ndio umeanza kuipenda Barcelona kabla ya Mpira ndio mana Mpira hauna ladha kwako bila ya Barcelona
Lakin kwa tulioanza kuupenda Mpira kabla ya club mpira haujawah kutokuwa na ladha
 
Wiki hii imekuwa na hisia mchanganyiko kwangu, kwanza Madrid kashinda ila dah, Mnyama kaukalia. Jana Barca kafa ( NIMEFURAHI SANA) ila Yanga kashinda, mpira bhana, ila mwisho wa siku jana kibanda umiza chetu tumeimba sana usiku. Mpira raha sana sababu ya msiba wa jana usiku, ni mkubwa sana wiki hii yote ni maombi na kuafariji wafiwa.

Eti MSN, jana Godin kawaweka kwapani wote tozi Neymer anaishia kicheza zile moves za The Matrix kumkwepa Godin akimtuliza, dogo tulia!!
Alafu ukiona Messi anakaba kwenye eneo la Barca na pia ana dive ujue shughuli ilikuwa pevu.

😀😀Tatizo Mnaongea mnoo, wakati hamjajua kama mtafika final
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom