Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,076
Hahaaaaa hawa timu isipopewa red card hawashindiView attachment 337892huyu anaitwa nani? Nauliza tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaaa hawa timu isipopewa red card hawashindiView attachment 337892huyu anaitwa nani? Nauliza tu
naona unajitekenya afu unacheka mwenyeweHapa nilipo kuna mashabiki wa club mbalimbali wakiwepo wa la liga, serie A, Bundesliga na epl,, nawasikiliza kwa makini wakisema tumesikitika kwa Barcelona BABA WA KLABU DUNIANI katolewa hivyo hakuna sababu ya kuendelea kutazama uefa mpaka pale itakapokwisha, Kwa namna moja ama nyingine We will not pay decoder within one month from the semi-finals...hawa wadau ndiyo maneno yao ninawasikia wakiyazungumza
Wamekwaa kisiki janaHahaaaaa hawa timu isipopewa red card hawashindi
Hiyo point no: 3 Una uhakika?SABABU TANO MUHIMU ZA KUJIVUNIA KUIPENDA BARCELONA
1: timu pekee iliyochukua trebo mara mbili
2: timu pekee iliyoongoza wachezaji wake kutwaa uchezaji bora wa dunia mara nyini zaidi
3: timu pekee iliyobeba kombe la UEFA mara nyingi karne hii ya 21
4: timu pekee iliyowaboresha mastar waliotamba zaidi duniani Mf: Maradona De lima Dinho Cruyff n.k
5: TIMU PEKEE INAYOONGOZA KUTWAA JUMLA YA MATAJI YOTE ULAYA tangu 1899 ianzishwe had leo imetwaa makombe zaid ya 85
ZIPO SABABU NYINGI SAAANA ILA HIZO TANO NI BAADHI KATI YA SABABU MILIONI ZA KUIPENDA BARCA TOKANIKIWA NA 5yrs HIVYO WACATALONIA WENZANGU TUJIVUNIE KUWA BARCA hata hawa haters wote kumbukumbu zao zingefutwa kichwani alaf wangeambiwa wachague timu moja hakika wangeigombania Barcelona kama dhahabu
Kufungwa ni mojawapo ya matokeo hvyo SASA NGUVU YETU TUIELEKEZE KWENYE LA LIGA NA COPA DEL RAY
MTI WENYE MATUNDA NDIO UNAOPIGWA MAWE
VIVA BARCELONA
Na ndio mana nimeiorodheshaHiyo point no: 3 Una uhakika?
Unamaanisha uefa champions league ?Na ndio mana nimeiorodhesha
Hapana ni UEFA ya tandaleUnamaanisha uefa champions league ?
In your own dreamsHapana ni UEFA ya tandale
Aya umesikika, nenda jukwaa lenu basi.Acha kukariri kakaangu weeeeee!!!!! Mi siyo shabiki km nyie Mi ni mwanasoka ......
Hahahahaha Man U inawauwa Wengiii...... Th Name njoo uwaone na wengine huku yaani kalala kaamka anaiwaza Man U......[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ujumbe wangu wa leo....
"Bora kukaa bench Barcelona kuliko kuchezea Manchester united"
Hamna mwenye jukwaa hapa ni yetu sote.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aya umesikika, nenda jukwaa lenu basi.
Wew ndio umeanza kuipenda Barcelona kabla ya Mpira ndio mana Mpira hauna ladha kwako bila ya BarcelonaBarcelona imetolewa! Hivyo uefa haina ladha yeyote from now, without Barca nothing,,,
mashabiki na wasiokuwa mashabiki wa Barcelona duniani kote hawatojishughulisha na kufuatilia mechi zilizobakia..maana hazina kivutio chochote, coz bila kuwepo baba yao wa familia kila kitu kinaharibika, Poleni sana ma-fans wa baca, best club in the world na itaendelea kushika no1 forever.
Wiki hii imekuwa na hisia mchanganyiko kwangu, kwanza Madrid kashinda ila dah, Mnyama kaukalia. Jana Barca kafa ( NIMEFURAHI SANA) ila Yanga kashinda, mpira bhana, ila mwisho wa siku jana kibanda umiza chetu tumeimba sana usiku. Mpira raha sana sababu ya msiba wa jana usiku, ni mkubwa sana wiki hii yote ni maombi na kuafariji wafiwa.
Eti MSN, jana Godin kawaweka kwapani wote tozi Neymer anaishia kicheza zile moves za The Matrix kumkwepa Godin akimtuliza, dogo tulia!!
Alafu ukiona Messi anakaba kwenye eneo la Barca na pia ana dive ujue shughuli ilikuwa pevu.
Ni wewe tu na ndo maana tuna mkosi Barca, toka lini Man U ukaipenda na Barca, embu nenda Madris uone kama Barca hatujabeba UEFA mara mbili. Dah, siamini kama tumetoka.
Hahahhahahaha makubwaaaaa hayaaaaa!!!!!!! Embu niondokeeni wenye mikosi nyie wenyewe ambao mmelizira jukwaa...........😛😛Hata mimi nawasi-wasi naye sana huyu dada, cku ya mechi akionekana tu humu tumekwenda na maji