Buenos Aires
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,894
- 1,622
tumeshawazoea na ukipenda sema laligalona kama kule uefalona hapa ni mwendo wa makombe tuu ukiichukia barca uanjipa ugonjwa wa moyoBarcaliga hii haina jipya sasa
Uefalona uwa tuna maanisha mna pendelewa na uefatumeshawazoea na ukipenda sema laligalona kama kule uefalona hapa ni mwendo wa makombe tuu ukiichukia barca uanjipa ugonjwa wa moyo
Hulijui soka k ufupi na vyema ukanyamaza ila vyema ukaongea ukweli uache upenz na unaz au kupenda kuongea kile unacho kipenda moyon daima ukwel unabak pale pale kuwa Barcelona ndio best of the best against hvyo unavyo vpendaUefalona uwa tuna maanisha mna pendelewa na uefa
Ila laligalona yaan hata huwa hamshindani
Kidoogo mnapendelewaga na marefa, ila mshakuwa psg wa kwenu
Bravo majeruhi. bado dk 45 iniesta akabidhiwe ndoo. everlenk, BuenosAires , Bitoz PAGAN na The Name nanyi mnakaribishwa.
Cja ongelea upenzi, mi ninejisema mshakuwa PSG wa uko spainHulijui soka k ufupi na vyema ukanyamaza ila vyema ukaongea ukweli uache upenz na unaz au kupenda kuongea kile unacho kipenda moyon daima ukwel unabak pale pale kuwa Barcelona ndio best of the best against hvyo unavyo vpenda
hatushindani wakati toafauti ya point 1 tu na mtu wa 2 bingwa kapatikana last day of the league kule epl tayri day ya 35 bingwa alishajuulikana karibu toafauti ya point 10 france ndio usiseme sasa sijui hapo huo ushindani unataka uweje nasema tena nyie anti barca tumeshawazoea tukipigwa hatuna mpango tukishinda tunabebwa . tunapendelewa na kama unasema ushindani hamna hizo gem tulizo kula kichapo hizo timu zilitoka wapi usiongelee tu kwa sababu unaichukia barca ukanza kuatafuta vijisibabu vya kutokubali ukweliUefalona uwa tuna maanisha mna pendelewa na uefa
Ila laligalona yaan hata huwa hamshindani
Kidoogo mnapendelewaga na marefa, ila mshakuwa psg wa kwenu
ukisema psg wa spain unamaanisha nini kwanza fafanua hilo usiropoke tuCja ongelea upenzi, mi ninejisema mshakuwa PSG wa uko spain
Mbona ni kweli kabsa hyo
Bingwa wa ligi hupatikana nda wowote nduguhatushindani wakati toafauti ya point 1 tu na mtu wa 2 bingwa kapatikana last day of the league kule epl tayri day ya 35 bingwa alishajuulikana karibu toafauti ya point 10 france ndio usiseme sasa sijui hapo huo ushindani unataka uweje nasema tena nyie anti barca tumeshawazoea tukipigwa hatuna mpango tukishinda tunabebwa . tunapendelewa na kama unasema ushindani hamna hizo gem tulizo kula kichapo hizo timu zilitoka wapi usiongelee tu kwa sababu unaichukia barca ukanza kuatafuta vijisibabu vya kutokubali ukweli
Nikisema PSG wa spainukisema psg wa spain unamaanisha nini kwanza fafanua hilo usiropoke tu
tatizo lako ni mbishi na ubishi wenyewe hauna fact zozote unachanganya choroko na mbaaziBingwa wa ligi hupatikana nda wowote ndugu
Mechuka Mara 6 katika miaka 8, you own that league
Kuchukua ni kuchukua tuu haijalishi mda gani ndugu, hzo ni style tuu ila wachukuaji wale wale
Hahahatatizo lako ni mbishi na ubishi wenyewe hauna fact zozote unachanganya choroko na mbaazi
ivyo unacho kikusudia wee ni kipi hebu kuwa muwazi uweleweke unamaanisha barca spain hana mpinzani au anapendelewa au vipi?
WABONGO MAISHA YOTE TUKO NYUMA NA TUTAZIDI KUWA NYUMA UNAULIZWA SUALI HUJIBU KWANZA UNAULIZA SUALIHahaha
We umeeelewa vipi kwan!!?
Ngoja nijaribu kukuelewa tofaut na wenzangu...una maana ya kua barca ni bora ndo maana wanachukua laliga au inabebwa ila kuchukua taji laliga..?Nikisema PSG wa spain
Ni sawa na kuwaita PSG
Barcelona wa ufaransa
Mkianza ligi znu muwe mna pewa na makombe kabsaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]WABONGO MAISHA YOTE TUKO NYUMA NA TUTAZIDI KUWA NYUMA UNAULIZWA SUALI HUJIBU KWANZA UNAULIZA SUALI