Ebanae two very good goals.... Enthralling game I must say kwa kweli.
mmh! acha tu AW!..liwalo na liwe, I'm sure kila timu inacheza kutarajia kitu kimoja!!.manure watachangamka sasa, rooney kafanya kweli!!
Ebanae nazidi kuwa more nervous duh mzozo huu...!! Heri yenu nyie mliotolewa mapema hamna hizi pressure.
Hiyo yenye nyeupe, sijui ni Fulamu, wanacheza mchezo wa kizamani kweli!
sijui kwanini nikimuona Park na Ferdinand nakosa raha ghafla.......l.o.l