Team pekee duniani ambaye ikitaka kushinda inashinda
Pole sana.Deportivo la Curuna wakupigwa hata 4 sio mbaya zinawatosha
Msimu huu points za kuchukua tu hovyo hovyo hazipo inabidi upambane kweli.
Msimu huu points za kuchukua tu hovyo hovyo hazipo inabidi upambane kweli.
League ngumu mkuu ila bado tutachukua tu kikombe hata kule jirani ana fixtures ngumu sanabonge la comeback kwenye ujinga wetu. kumkosa Neymar kidogo tu hoi. final passes mbovu.
Hii league tunai underate ila ni ngumu sana bado mshindi hajawa clearKabisa Mkuu na leo baadaye Real Madrid wawe careful au nao wanaweza kupigwa vile vile.
Sasa ndio unagundua?League ngumu mkuu ila bado tutachukua tu kikombe hata kule jirani ana fixtures ngumu sana
Ukikutana na hizi team zilizopo relegation zone wanasumbua sana ,usisahau na uchovu wa wachezaji
Hii league tunai underate ila ni ngumu sana bado mshindi hajawa clear
We ni team gani nianzie hapoSasa ndio unagundua?
Si ulisema leo mnashinda 4.
Barca bila kubebwa ni laini sana.
Tumechukua laliga mara 8 na Madrid mara 2 ndani ya miaka 11 hii sio dominance?we unamjua nani amepanic hadi sasa apunguze gap ya uonevu huu in the past decade?barca are still in the stadium waiting for sergi roberto to score[emoji23] [emoji23]
Teniriffe kule anapichezea mbongo mmoja kutoka Azam.We ni team gani nianzie hapo
eti hala hala Madrid!🙂REAL MADRID tumeshabeba kombe hilo ......Hala hala Madrid
imeniuma sana hii mechi. hasa tulivyo poteza mipira mingi kwenye 18 yao. hata hivyo bado kama 10 matches. tuombe Betis wakomae. niliwaona betis wakicheza na RSO, wapambanaji sana.Huu ndio mpira tumekubali matokeo over ,No barking here