FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Habari zilizopo za uhakika toka chini ya kapeti.
Ni kwamba baada ya Barca kutoka USA, Neymar Jr alikwenda China kwa kwa ajili ya dili zake za biashara. Baada ya kutoka China alipitia Qatar kusaini mkataba wa Euro milion 300 eti ni kwa ajili ya matangazo ya world cup 2022. Sasa ili PSG Wasipigwe faini kwa ile financial fair play itabidi Neymar Jr anunue mkataba wake kwa Euro 222 milioni. Hapo ndio utajua huo mkataba wa Qatar ni nani katoa hizo hela.
Hii dunia sheria hutungwa ili zivunjwe.
GOODBYE NEYMAR JR
 
Best options in chronological order ni
1.Coutinho
2.Alex Sanchez arudi (alimkimbia Neymar)
3.Verrati
4.Eden Hazard
5.Angel D Maria
6.Dembele
7.Mbape
8.Dele Ali
wahakikishe lamasia graduate kama Samper na Carlos Arena wanapewa muda mwingi wa kucheki my instincts moja wao atakua star mkubwa sana baadae
Hiki ni kilio cha Xavi na Johan CruyF muda mrefu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Humu ndani mimi nilishafanya demage control zamani sana so haina haja ya kuhuzunika wamepita wengi sana pale Camp Nou tena wenye world records kama Rivaldo,Ronaldinho Gaucho,Samuel Eto,Thiery Henry ,David Villa,Pedro etc
The difference may be ni kwamba ameondoka wakati tunamuhitaji the most lakini tumefanya trade off na hela ndefu sana ambayo tunaweza tukanunua player wawili na soon tukamsahau dogo Neymar
All the best Barca team kwenye kufanya poaching ya left wing player am sure Velverde atawa lead kwenye best choice(Ref ametoka kwenye mediocre players team ila alikua ana attack hatari hawezi kushindwa Barca) lengo letu this season ni ku win treble tusisahau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Messi kashamuaga jamaa insta huko.
 

Attachments

  • IMG-20170802-WA0031.jpg
    51.6 KB · Views: 43
  • IMG-20170802-WA0034.jpg
    66.1 KB · Views: 36
ni katika harakat za kutafuta maisha tu sioni cha ajabu kwa neymar kuondoka maana ni kama umeachana na mpenzi wako haina maana ya kuanza kumkashifu....
barca ni kubwa kuliko yeye so tusijawe na hasira na kumchukia dogo

sent from iphone 7 using Jamii forum mobile app
 
Kuna kitu mimi nimehisi, huenda Neymar anataka kuichezea Real Madrid na namna ya kujiunga nao ni kupitia kwanza PSG ili baada ya misimu kadhaa aweze kwenda kujiunga na Rivals wetu na pia sintoshangaa kama Real kwa usiri watakuwa wamechangia hili dili kufanikiwa kwa namna moja ama nyingine!

Kila la kheri Neymar Dos Santos
 
Anaondoka. No need ya kupanic tuli perform kabla hajaja na tutazidi kusonga mbele tuu. We are fc Barcelona

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • FB_IMG_1501683159341.jpg
    21.4 KB · Views: 42
Reactions: PNC
Lazima after 2 years atarudi kuichezea Real Madrid mark hiyo
 
ukweli mimi Barca na soccer as a whole nimeijua not long ago-Neymar huko PSG atacheza kati or will he be coming from the wings?PSG mfumo wao vipi? will it suit his style of play? Will he climb to greater heights or kajichimbia kaburi-haya yote nayasoma kwenye Spanish press ambayo inamtakia mabaya- labda humu I will get rational answers je WILL he climb to greater heights???
 
Neymer anaenda kununua mkataba wake baada ya kulipwa hiyo feza ambayo imedhaminiwa na rais wa PSG ambaye ndiye aliyempa conection ya hiyo dili ya kuitangaza Qatar kwa ajili ya 2022 World Cup final

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Coutihno ni long replacement ya Iniesta na alikua katika rada ya barcelona tangu msimu uliopita so hata kama tukimsajili lazima asajiliwe left wing wa kuchukua nafas ya Neymer

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Trust me, neymar is a good player but Barca made him better.

Kuanzia kwenye style of play alipewa uhuru wa kuchezea mpira hata akipoteza sio kesi.

Kukaa na mpira muda mwingi bila kukaba pia ilikua ni advantage.

Playing alongside Messi is a plus, leave alone Suarez, Iniesta and other world class players!

Sioni kama atayapata haya kule ufaransa au kwingineko.



- KANA -
 
I fear the worst,leading the line sio mmojawapo ya strong points zake,anahitaji world class players alongside- PSG are in for a titanic shock
 
I fear the worst,leading the line sio mmojawapo ya strong points zake,anahitaji world class players alongside- PSG are in for a titanic shock
Hata akienda Madrid, kwa style yake ya uchezaji sio mtu anaeweza kutegemewa na team nzima!


It's a white elephant deal for PSG and for him!

- KANA -
 
I fear the worst,leading the line sio mmojawapo ya strong points zake,anahitaji world class players alongside- PSG are in for a titanic shock
Hii ndio league 1 na muelekeo wa Neymar kama hatahamia UK atarudi Spain after 2 years (akiweza ku maintain form)
In short ni league ambayo sio competitive, na kama kumfunika Messi huwezi kuchukua Bol On Dor kwa league 1-(ushahidi kuwa ameendea hela)
Kule anakoelekea kuna Edison Cavan, Draxler ,Verrati,Angel Di maria etc
Mimi binafsi mapovu yalikua yananitoka achilia mbali wivu but kwa sababu naona kabisa Neymar anazama kwa tamaa ya hela the league is not challenging angalia records za Ibra hizo uone ninachozungimzia
 
Tushakua mbwa,wewe unaelekea umelelewa na mzazi mmoja
Mjinga hua hajifichi ,yuko proud kuonyesha upumbavu wake ,Madrid alikula 5-0 ,6-1 wakati huyo Neymar anachunga mbuzi Brazil na wala hategemei kuja
miaka ya 2007-2012 Barca ilitisha sana duniani na wachezaji wa Lamasia
Barca always tabia yao sio watu wa expenditure kubwa kwenye players cause we have our no 1 Cantera ya Lamasia
 
Hapo tumchukue Dembele na Coutinho. bila hivyo barto hataeleweka. Mmoja kama Neymar replacement na mwingine ni big name signing aliyoahidi. Anaweza ongeza hata big name ya tatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…