Bullava
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 618
- 1,002
Habari zilizopo za uhakika toka chini ya kapeti.
Ni kwamba baada ya Barca kutoka USA, Neymar Jr alikwenda China kwa kwa ajili ya dili zake za biashara. Baada ya kutoka China alipitia Qatar kusaini mkataba wa Euro milion 300 eti ni kwa ajili ya matangazo ya world cup 2022. Sasa ili PSG Wasipigwe faini kwa ile financial fair play itabidi Neymar Jr anunue mkataba wake kwa Euro 222 milioni. Hapo ndio utajua huo mkataba wa Qatar ni nani katoa hizo hela.
Hii dunia sheria hutungwa ili zivunjwe.
GOODBYE NEYMAR JR