FineForever
JF-Expert Member
- Apr 12, 2017
- 1,777
- 2,356
Binafisi pia namini hivyo. Kama tungempata Dembele yaani tungetisha hatari. Dogo anajua sana mpira, ana kasi balaa.Nilikuwa napitia you tube daaahhhh dembele ni mzuri kuliko coutinho. ni mtazamo wangu halafu game leo saaa ngapi? channel gani wanaonyesha? tukimpata dembele itakuwa goood sana
Nilifikiri huyu jamaa ni winga wa kulia?Deolouf atazima pengo la Neymar kwa siku ya leo,nadhani Sergio Roberto na Semedo wataingia kama substitution baadae
Amewekwa kushotoNilifikiri huyu jamaa ni winga wa kulia?
ametupia. inabidi tusiaibishe wageni. 2-0Amewekwa kushoto
Ni Lamasia product hawa wana fit sehemu nyingi sana
Daah hadi nawaonea huruma ,umeiona ile Barca yakupenyesha sana passes (penetration ) inarudi?unapasiwa ukiwa na adui na unatakiwa ui possessametupia. inabidi tusiaibishe wageni. 2-0
Nimeiona mkuu. One touch ya ukweli. HT 3-0. Deulo, Busi na King Messi. Ila hii timu dhaifu sana. Suarez naye kawa mtepetevu kupita kiasi.Daah hadi nawaonea huruma ,umeiona ile Barca yakupenyesha sana passes (penetration ) inarudi?unapasiwa ukiwa na adui na unatakiwa ui possess
Nilikuwa napitia you tube daaahhhh dembele ni mzuri kuliko coutinho. ni mtazamo wangu halafu game leo saaa ngapi? channel gani wanaonyesha? tukimpata dembele itakuwa goood sana
Sergio the best anajua sanaNalifikiria goal la jana la Besquets ,nasikia coacher amemkabidhi Bus offensive roles kubwa kuliko defensive roles kama nlivyokua tunamuona previous 3 seasons hii ndo ile attack attack attack ,tutaona magoli mengi msimu huu