FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Screenshot_2017-08-07-21-25-44-1.png

Huyu jamaa ni survivor wa ajali ya Chapecoase amebubujikwa na machozi jinsi alivyoshangiliwa Camp Nou
 
Wazee Tick tacka na pressuring game imesharudi Barca nawaona hata kwenye game hii yakirafiki
Safi sana Velverde
Team iko compacted together tunashambulia ,passing na ku defend wote kwa pamoja
 
Daah hadi nawaonea huruma ,umeiona ile Barca yakupenyesha sana passes (penetration ) inarudi?unapasiwa ukiwa na adui na unatakiwa ui possess
Nimeiona mkuu. One touch ya ukweli. HT 3-0. Deulo, Busi na King Messi. Ila hii timu dhaifu sana. Suarez naye kawa mtepetevu kupita kiasi.
 
Nilikuwa napitia you tube daaahhhh dembele ni mzuri kuliko coutinho. ni mtazamo wangu halafu game leo saaa ngapi? channel gani wanaonyesha? tukimpata dembele itakuwa goood sana

dembele kwa little magician anaingia mara tatu acha kutazama kwenye youtube nisamehe mkuu kama nimekukwaza
 
  • Thanks
Reactions: PNC
dyabala yupo far better kwa dembele sasa hivi hatutaki MSD tunataka team work ya tik tak weka little magician coutinho na dyabalamask few match watu wataona impact yao
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Nalifikiria goal la jana la Besquets ,nasikia coacher amemkabidhi Bus offensive roles kubwa kuliko defensive roles kama nlivyokua tunamuona previous 3 seasons hii ndo ile attack attack attack ,tutaona magoli mengi msimu huu
 
Nalifikiria goal la jana la Besquets ,nasikia coacher amemkabidhi Bus offensive roles kubwa kuliko defensive roles kama nlivyokua tunamuona previous 3 seasons hii ndo ile attack attack attack ,tutaona magoli mengi msimu huu
Sergio the best anajua sana
 
Nafikiri kwa mpira wa Deulofeu jana timu zilizotaka kutuuzia mbadala wa N€ymar kwa bei ya kutupiga zitajifikiria mara mbili. Wanaweza wakakosa mpunga maana jamaa kaonyesga anaweza na hatuko desperate sana kwenye ile angle.
 
Ila Paco anamatatizo gani? Kwenye mechi hafungi kwa ukawaida. Hadi penalty anakosa kiuzembe. Amekuwa mzigo mkubwa. Amepiga penati kama mchezaji wa RM😉🙂🙂
 
Tetesi yule bishoo alikuwa anamshawishi little magician amfate psg wakati yeye kwenda maamuzi yake hakulazimisha.....uzuri mwenyewe anataka barca na soon atakuwa kwetu
 
Back
Top Bottom