Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Lionel Messi now has 77 Champions League goals - a new record and one more than Cristiano Ronaldo.
Hahah...
So far mkuu wameacha kutumia neno "a new record" kwa magoli ya CL...
Maana CR na Messi wote wanacheza bado na wanafukuzana...
Sasa kila mara itakuwa tunapata rekodi mpya ya magoli...