Shikamoo Daddy....... Ushindi ni lazima. #VamosBarca
marhaba bebi, timu inaondoka asubuhi hii kuelekeq Berlin, jioni itafanya mazoezi yake. Hakuna mchezaji yoyote ambaye ni majeruhi au ana kadi, wanaenda 23 huku Sando na Munir ambao ni wa Reserve wamebebwa pia.



