FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

binafsi naweza kusema Juventus,Ajax Amsterdam na Bayern Munich ndizo zenye rekodi nzuri barani ulaya kwa hoja ifuatayo,sababu zimebeba makombe yote yanayohusisha timu za barani ulaya,yani,klabu bingwa ulaya,washindi ulaya wakati ule sasa imeungana na uefa cup,uefa cup na klabu bingwa ya dunia

Gutierez nakuheshimu.
Tafuta Data zako kisha uje kikamilifu
 
Nimefuatilia kwa kina jinsi wadau mnavyochangia mada na nimegundua kuwa kuna kitu ambacho kinakuwa kinaleta utata katika kujua timu bora, hili ni jambo ambalo kikawaida linatokana na mitazamo tofauti tuliyonayo binadamu katika kuchanganua jambo lolote.
Kuna mdau kagusia kwa kusema kuwa timu bora ni timu inayocheza complete football, yaani ni timu iliyokamilika katika idara zote, huyu ndio naungana naye. Timu bora ni timu ambayo unapoiangalia inacheza unapata radha halisi ya mpira, hauoni mapungufu katika idara yoyote, pia ina wachezaji wakali, wenye uwezo mkubwa huku ikiwa na uwezo mkubwa wa kushinda game lolote bila kujali mazingira. Unapotaka kulinganisha uwezo wa timu bora kutoka ligi tofauti, pamoja na kuangalia uwezo katika hiyo ligi yake lakini ni lazima uzingatie michuano inayowakutanisha.
Wanapokutana wataalamu katika kujua ni timu gani bora kwa kawaida wanaangalia uwezo wa timu hiyo kwa wakati huo na si kwa kuangalia historia pekee. Timu bora ya 2010 haiwezi kuwa ni timu iliyochukua vikombe miaka ya sabini, ila unapotaka kuangalia timu bora all the time ndio inabidi uanze kuchanganua timu bora katika kila mwaka na baada ya hapo unalinganisha sasa, kwamba ubora wa Barca 2010/2011 ni sawa na ubora wa Madrid 2001/2002, sio kufanya majumuisho ya kwamba kwa kuwa Barca amechukua vikombe vichache kuliko Madrid katika historia zao basi haiwezi kuwa bora kuliko Madrid kwa wakati huu. Hapo ndio napenda tutofautishe. Kwa kawaida timu bora ni muhimu iwe inashinda mechi na pia ichukue makombe, lakini si kila timu inayochukua kombe kwa wakati huo ni bora kuliko timu zote.
Kwahiyo wadau, ni vema kuweka bayana kuwa unaweza linganisha uwezo ya timu flani kwa mwaka huu ukilinganisha na timu hiyo hiyo au nyingine kwa mwaka mwingine na ndio maana unaweza kujua uwezo wa soka wa timu fulani au taifa fulani au ligi fulani unapanda, unashuka au uko palepale.
 
Kama unacheza hiyo total football lakini at the end of the day ni lazima ushinde championship. Kama utacheza soka ya kuvutia/total football lakini mwisho wa msimu timu inaambulia patupu whether ni kwenye domestic league ama Europe then what's the point?
Katika dunia ya soka la vilabu timu za Europe zinapimwa kwa kigezo cha kuchukua "UEFA Championship League" ambayo ukishinda mashindano hayo basi hiyo team ndio dume la mbegu!
Kama waliopiga kura wame-suggest Barca ni timu bora for 2009/2010, sina ubishi, lakini sio timu bora ktk historia ya soka. NOPE!!
 
Nadhani sasa tunaweza kusema bila kuuma maneno kuwa barca SI klabu bora kuwahi kutokea. Namshukuru mtoa mada kwa kuwa naye aligusia klabu ya AC MILAN ambayo imetajwa na wengi ingawa kuna wachache ambao wanauma uma maneno na kutaka kuchomekea timu kama man u au chelsea. Hata hivyo bado nina mashaka kama pasi safi au kile kinachosifiwa kwa barca sasa kinaweza kuweka kumbukumbu ya kuduma na kukumbukwa kama hawatatwaa taji lolote msimu huu. Binafsi sioni tofauti yoyote kati ya barca na real madrid ya enzi za akina zidane, roberto carlos n.k ilipotwaa champs ligi pale old traford. Ninachokiona mimi hapa ni stori ya kipofu ambaye alibahatika siku moja kufumbua macho kwa sekunde na kumwona punda kisha akapofuka tena. Ukimwambia twiga ni mrefu atakuuliza kushinda punda? Ukimwambia tembo ni mkubwa, atauliza kushinda punda?
naomba kuwasilisha wakuu
 
Mi naimani Polisi wote wangekuwa na akili timamu kama zako basi wasingekatwa mishahara kipuuzi vile.

Umenena vyema sana.
Na kwa kweli umeweka wazi kuwa Mpira sio chenga twawala halafu mwisho wa msimu vikombe chwee...

Big Thanx again
 
Kweli football its a game of opinions.... and you can play with stats to your advantage... Sasa basi...

Since football is a game of results then mafanikio is equal to Makombe... which is equal to best team in the world therefore
Best team in the world (FIFA competitions, i.e. world club competition) AC MILAN
Best team in Europe (Champions League) REAL MADRID
Best team in Italy (Serie A) JUVENTUS....

The question comes how can you be the best team in the world without being the best team in europe au Italy

Jibu linakuja CUP competition sio true measure ya timu nzuri..., ingawa Inter walishinda Champions League lakini they were not the best the true measure ya best team ni league (ambapo kila timu inacheza na kila timu)

Sasa basi Although Real Madrid has done wonders lakini I agree AC MILAN..., with likes of Gullit Maldini and that AC MILAN which went all 53 games unbeaten was a very good team..., just like the Real Madrid ya kina Ronaldo na hii Barcelona ya kina Messi...., lakini History wont remember how good you play you need the Cups to show for it

NB:
By the way wakuu naomba msaada wenu huku...hapa kuna ka kijiwe ka sisi football purists ambao we just love the game siku timu zenu zikifungwa mnisaidie kuweka picha... https://www.jamiiforums.com/sports-...gs-glory-hunters-not-allowed.html#post1572795
 
Mi naimani Polisi wote wangekuwa na akili timamu kama zako basi wasingekatwa mishahara kipuuzi vile.

Umenena vyema sana.
Na kwa kweli umeweka wazi kuwa Mpira sio chenga twawala halafu mwisho wa msimu vikombe chwee...

Big Thanx again

Sasa mkuu hapo kwenye nyekundu tuite kuchomekea au kutanua, maana tupo kwenye sports hapa, teh teh. Anyway message sent.
 
Mi naimani Polisi wote wangekuwa na akili timamu kama zako basi wasingekatwa mishahara kipuuzi vile.

Umenena vyema sana.
Na kwa kweli umeweka wazi kuwa Mpira sio chenga twawala halafu mwisho wa msimu vikombe chwee...

Big Thanx again

Hapo mkuu nimecheka sana! Kwani mishahara ya hawa polisi inakatwa kipuuzi kwa sana?
 
Real Madrid kabeba mara nyingi uefa champions league 9,AC Milan kwa ku+ kwa pamoja uefa champs ligi na klabu bingwa dunia ndie mara nyingi,yani klabu bingwa dunia anaongoza AC Milan,Juventus kwa kujumlisha mataji yote kwa ujumla anaongoza yani,uefa,serie a,makombe hadi ya mbuzi kwao huko italy,
 
Hakujawahi kutokea kikosi kama cha sasa hivi katika historia ya soka.EVER!!!!!!!:A S crown-1:
 
Mbona unakimbia sasa???

Thank you for this thread.....

naipenda Barcelona na staili yao ya soka pia ila naipenda sana timu ya ARSENAL....:coffee:
 
Naipenda sana barca, the team that maimtain records all the time.
 
Hakujawahi kutokea kikosi kama cha sasa hivi katika historia ya soka.EVER!!!!!!!:A S crown-1:

Ni kweli lakini sikufurahishwa kufukuzwa Eto! Binafsi aliipenda Barca na alitamani kuendelea kuichezea!
 
Mbona unakimbia sasa???

Thank you for this thread.....

naipenda Barcelona na staili yao ya soka pia ila naipenda sana timu ya ARSENAL....:coffee:

Hata mimi nazipenda zote, klab zote ila, from the bottom of my heart, I HATE MAN U! Sielewi kwa nini, lakini nawachukia sana ma'freemasons' wale!
 
Back
Top Bottom