FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Msijifanye hamuelewi kuna nini kinaendelea duniani jamani!

Roho mbaya haijengi, hata Kama mmesusia shughuli, mpongezeni the master himself c7!
 
Cr7[emoji93] [emoji92] [emoji91] [emoji95] [emoji94] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Barca inapaswa kuundwa wachezaji wengi waliosajiliwa miaka ya karibuni wameshindwa kufit kwenye system Vermaelen,Mathieu,Alex Vidal,Arda Turan,Paco Alcacer na Andre Gomes.Kwa sasa only Messi ndio anaibeba timu Suarez na Neymar wote wako off form kama itatokea Messi akapata majeruhi hali itakuwa mbaya sana.
Kusema Neymar yuko off form tunakosea-Neymar ndio anayepeleka mipira yote akitokea pembeni na anaingia mpaka kwenye 18,hasa tunapokua under the cosh na pass anatoa lakini opponents hizo bodies zinazolinda goal unakuta umempiga mtu au umepiga post,Suarez kidogo naona sasa hivi anashindwa kujitengenezea nafasi- Nilishawahi kusema humu kwamba for Barca to fly-Suarez lazima afunge magoli. kazi ya Messi na Neymar ni to set up Suarez anything else ni disaster
 
Kazi ya Neymar imebadilika kuanzia lini,mbona huko nyuma alikuwa anafunga magoli mmeshasahau kuhusu MSN ? Umeona Zidane alivyoibadilisha Madrid now kila mchezaji anafunga magoli na sio kuwategemea BBC

Ukiondoa Messi kule mbele wengine wanacheza chini ya kiwango na sasa pengo la Dani Alves linaonekana wazi,Alves alikuwa anatengeneza magoli mengi ya Barcelona
 
tetesi. Man city wanamtaka Raktic. na hii kwenye majira ya joto.

upload_2017-1-10_9-10-38.png
 
diegomaradona-cropped_1qjnk5awhq5pk176vzi5h7131d.jpg

Maradona disappointed in Messi absence as Madrid icons pile in

Jan 10, 2017 00:20:30
Lionel Messi and his Barcelona team-mates were not at the Best FIFA Football Awards gala on Monday, frustrating the Argentina legend

Diego Maradona was disappointed that Lionel Messi and Barcelona opted not to travel to Zurich for the 2016 the Best FIFA Football Awards ceremony, with Roberto Carlos and Michel Salgado also critical.

Messi, nominated for the Best FIFA Men's Player prize, had been expected to travel with Barca team-mates Luis Suarez, Neymar and Gerard Pique.

However, the club announced on Monday that none of their players would attend the gala in Switzerland due to the Copa del Rey match against Athletic Bilbao on Wednesday.

The Argentina international was beaten to the accolade by Real Madrid star Cristiano Ronaldo, and Maradona was frustrated his compatriot was not present.

"I'm disappointed with Messi, from watching television at home you cannot fight anything or anyone – here you can fight," he told TVE.

"I do not know why Barcelona did not come to such an important event. They have priorities and the priority was for Leo not to come. I think coming here [Zurich] they could fight more than they would in Barcelona
."

Madrid icon Roberto Carlos was also miffed by Barca's decision, suggesting Messi could learn humility from Ronaldo.

"I am sad and disappointed that Leo and his team-mates have not come. They have many great footballers and all of us would have liked to see them attend," the former Brazil international said before the ceremony.

"We all wanted to see Messi, the other big players and the coach of Barcelona here. It's a FIFA prize. FIFA is the highest authority in football. So everyone should be here.

"Cristiano has learned the importance of this and I think Leo also needs to learn that he must be here. This has to change.

"Real Madrid also have a match this week but they are well represented in Zurich. The obligations to win for both clubs are the same."

cristiano-ronaldo-best-fifa-mens-award-09012017_3dbf58hzhrl815atbojbt3rak.jpg

Salgado stated that he expected better from Barca, one of the biggest clubs in world football.

He said: "Real Madrid are currently the best team in the world so maybe this has affected the decision of the Barcelona players. Barcelona are wrong for not sending their best players.

"I know that the club has had issues with FIFA in the past but Barcelona needs to understand that FIFA is changing. This is not how you expect one of the world's biggest clubs to behave."

Upon receiving his award, Ronaldo said he was "sorry" that the Barca players were not in attendance but that it was "understandable".
 
Hahahaaa Barca walifanya vizuri sana kutohudhuria, maana kinachofanyika ni siasa....
Angalia kwa mfano ati Rooney kawachagua Ronaldo, Suarez na Vardy! Yaani ati Suarez na Vardy nao wamekuwa bora kuliko Messi....!
Na wahusika wengi wametanguliza siasa za hivyo kwenye chaguzi zao, kwa kweli hakuna haja kuhudhuria futuhi za hivyo.
 
Dont get bitter get better
Sioni kama kwa spirit ya ki michezo jamaa walifanya poa
 
Hahahaaa Barca walifanya vizuri sana kutohudhuria, maana kinachofanyika ni siasa....
Angalia kwa mfano ati Rooney kawachagua Ronaldo, Suarez na Vardy! Yaani ati Suarez na Vardy nao wamekuwa bora kuliko Messi....!
Na wahusika wengi wametanguliza siasa za hivyo kwenye chaguzi zao, kwa kweli hakuna haja kuhudhuria futuhi za hivyo.
Tumia hapo ubongo kufikili Barcelona hawakufanya poa kutokushiriki
 
Mkuu, wewe fuatilia manahodha wa nchi mbalimbali wamechagua wachezaji gani uone vituko.
Hapo hakuna cha spirit ya kimichezo wala nini, hapo kuna spirit ya futuhi!
Mbona miaka yote huwa inakuwa hivo hivo!!?

Unajua messi mwenyewe alimpigia kura nani!!?
1. Suarez 2. Neymar 3. Iniesta

Hivi hao ndio walikuwa wachezaji bora wa dunia mwaka 2016, seriously!!?

Utaratubu una require hivo na wachezaj wa barcelona walikuwa wana ujua tangu messi anakuwa mchezaj bora mara 5 mpaka mwaka huu.

So hawakuwa na sababu, ni ukosefu wa sportsmanship tuu.
 
Tumia hapo ubongo kufikili Barcelona hawakufanya poa kutokushiriki
Kaka, unapoandika tumia huo ubongo kuhakiki kama umeandika kwa usahihi.
Kufikili = kufikiri.
Barca hawakufanya kosa lolote, waliwakilishwa vizuri, na kama walifanya kosa hebu tuambieni wamepewa adhabu gani.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Mbona miaka yote huwa inakuwa hivo hivo!!?

Unajua messi mwenyewe alimpigia kura nani!!?
1. Suarez 2. Neymar 3. Iniesta

Hivi hao ndio walikuwa wachezaji bora wa dunia mwaka 2016, seriously!!?

Utaratubu una require hivo na wachezaj wa barcelona walikuwa wana ujua tangu messi anakuwa mchezaj bora mara 5 mpaka mwaka huu.

So hawakuwa na sababu, ni ukosefu wa sportsmanship tuu.
Mkuu, nadhani unachanganya madesa! Hii hapa siyo hiyo Messi aliyoshinda mara 5 na Ronaldo mara 4.
 
Barca inapaswa kuundwa wachezaji wengi waliosajiliwa miaka ya karibuni wameshindwa kufit kwenye system Vermaelen,Mathieu,Alex Vidal,Arda Turan,Paco Alcacer na Andre Gomes.Kwa sasa only Messi ndio anaibeba timu Suarez na Neymar wote wako off form kama itatokea Messi akapata majeruhi hali itakuwa mbaya sana.

Yeah absolutely mkuu Belo!

Hao uliowataja labda TURAN ndiye anafit pale!waliobakia nothing....about Messi! Huyu ndiye tunaemtegemea na ndiye anaibeba tim..yani messi akiondoka' barce tutakuwa na hali ngumu coz yeye ndiye anaye-amuwa matokeo anytime, mechi ya juzi/ugenini ilikuwa kidogo tu tupokonywe point 3..dakika ya 90 mchawi kapiga goli..Neimar hana lolote mi hata akiondoka leo sawa tu,sioni anachokifanya zaidi ya mbwembwe tu! Alipoingia camp now tukajua hapa tumepata kweli kumbe tumepatikana,kanapenda chenga ziczo na tija..hivi mwalimu wao/messi huwa hawakalishi yeye na suarez awape somo,na kuwafundisha jinsi ya kumiliki mpira na namna ya ufungaji? Au vichwa vyao empty?
 
Mkuu, nadhani unachanganya madesa! Hii hapa siyo hiyo Messi aliyoshinda mara 5 na Ronaldo mara 4.
Messi na Ronaldo wameshinda tuzo zote zilikuwa under FIFA naongea nnacho kijua
Na voting system ilikuwa the same tuu.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Jose Angel sanchez: Hey zizou im buying Gomes
Zidane: lemme watch his videos for 10 secs
Zidane 10 secs later: Let barca buy him
1f602.png
1f608.png
Inasemekana ni deal mbaya technically barca tangu mwaka 2007
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Barca of late imekuwa not convincing sana-sababu zimekuwa nyingi,eg midfielders not up to the task,Coach ni mbaya etc etc-What I observed na wengi hatulioni ni kwamba for some reasons strike force yetu haifungi magoli-na chances tunapata nyingi sana lakini unashangaa how come that ball did not end up in the net(ingekuwa kwetu usukumani ningeamini labda wizards wako kazini) Barca is not about defence-kufungwa kwa system tunayocheza ni inevitable.Silaha yetu ni ku outscore the opposition-which is not happening at the moment,tunatumaini hii blip itakwisha na goals will come
Mkuu kusema kocha ni mbaya ni tusi na sio fair kumbuka yeye ndo amevunja records zote za makocha invincible waliopita Barca akiwemo Pep na Frank Richkaard sema choo alichoingizwa ni kusajili midfield ambayo bado ana hope nayo sana ya Andres Gomes na Striker uchwara Paco Alcacer
Hawa watu wanasababisha hadi Neyma na King waumie sana ku balance game na hata wanasababisha Basquets aonekane chini ya kiwango so far Denis Suares na Lucas Digne ni tumaini letu sana wadogo wataijenga Barcelona sana especially next season under conditions kocha awe anawapa muda wa kucheza sana
 
Wachezaji wabarcelona hawakuhudhuria kwa sababu za kimchezo ,kesho tuna match muhimu cap Nou na round 16 copa de ley vilevile mshindi alishaandaliwa kwenye mabox kama CCm vile bongo ndio maana wazee wa Barcelona waliivujisha mapema.....wakakana sana kama Mwenyekiti ya tume ya uchaguzi wa bongo results zimekuja zile zile Gaynardo mdo bingwa
 
Back
Top Bottom