Cjui Enrique huwa anawaambiaje wachezaj wake....huwez kuruhusu wachezaj wakose magol rahis kias hicho kwenye mech ngum kama hii
Sent from my E2303 using JamiiForums mobile app
Sent from my E2303 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani kocha ndio amewaruhusu wakose magoli.....wamekosa kwa ubovu wao kocha hana kosa barca ni timu mbovuCjui Enrique huwa anawaambiaje wachezaj wake....huwez kuruhusu wachezaj wakose magol rahis kias hicho kwenye mech ngum kama hii
Sent from my E2303 using JamiiForums mobile app
Juventus wanacheza kitimu hawachezi kiufundi lakini wamepata ushindi mnonoMatch bado mbichi...hata sistuki magoli yote ya Juventus hamna ufundi wowote zaidi ya uwezo tu wa yule dogo Dyabala
nyie ufundi na uwezo wenu umeishia wapi? 😀😀😀😀Match bado mbichi...hata sistuki magoli yote ya Juventus hamna ufundi wowote zaidi ya uwezo tu wa yule dogo Dyabala
This is the worst comment in football this year damn [emoji23][emoji23][emoji6][emoji6]Juventus wanacheza kitimu hawachezi kiufundi lakini wamepata ushindi mnono
Sent from my NokiaX2DS using JamiiForums mobile app
Yeah yeah fagilia babu ila sio kinafiki we know what we are doingHahahaha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila mtarudi aise
Mlishinda goli 6
Hamtakosa goli 4 tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wazee wa COMEBACK
Impossible is attitude, sisi barca hatuna mashabiki wenye mentality kama yako we gonna comeback tena nawashauri wakaulize muitaliano mwenzao AC Milan alikufaje pale Camp Nou 2013Mmekufa mazima!
Tutashinda mkuu 2nd leg usihofuBora nikae kimyaa
yeah it will be easy win to you guysTutashinda mkuu 2nd leg usihofu