FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Ningekua mimi ni Velverde ningehitaji wachezaji wa Barca wakatishe likizo zao ziwe siku 20 tu ,then nawaingiza camp yakujenga pumzi ,techniques individual na team na tactics original kabisa za tik tacka
 
  • Thanks
Reactions: PNC
3d4c7adc4deebb6bf9fd64573b233894.jpg
 
You dont have guts to do it mkuu ,kwa team gani pale?for me age yenu inaisha so mtasubiri miaka kadhaa kunyanyau laliga tena na UEFA tena
We back on business nxt season [HASHTAG]#ForcaBarca[/HASHTAG]

Man Zidane ana future plan wakati ndio kwanza unatafuta kocha. Ile squad ina full young talents unasema wamezeeka, au huijui Real Madrid?
 
You dont have guts to do it mkuu ,kwa team gani pale?for me age yenu inaisha so mtasubiri miaka kadhaa kunyanyau laliga tena na UEFA tena
We back on business nxt season [HASHTAG]#ForcaBarca[/HASHTAG]
Angalia Barca na Madrid timu ipi inavijana wengi nyie Messi akiisha ndo mmepotea kabisa
 
Doenst Matter if Madrid Won The Trophy! We still Love Barca,
Because to us Barcelona is not only the Football Team Its our Religion!
[HASHTAG]#ForcaBarca[/HASHTAG]!
Code:
cc: TheMason
It matters ndio maana umeandika.
 
Thiago Alcantara na Alex Sanchez wanatakiwa warudishwe catalan tuunde kikosi cha kuchukua UEFA kabisa mapema....!!hawa madridasta wamekera sana
 
Nyie mnaosema Barca wanazeeka focus zenu ni za kijinga Barca wana young players wengi ambao wametolewa kwa mkopo(lamasia products) na wengine Louis Enrique alikua hawatumii
Moja ya deal waliloingia nalo Velverde ni kuhakikisha hawa watoto wana fit kikosi cha kwanza ,msiongee msilolijua
Screenshot_2017-06-03-22-45-53.png
 
Watani huku kumepoa sana ngoja niwachangamshe

Dear Ronaldo.. Pls I would be very Grateful if u Tell me how u where able to score Buffon Twice in 90 minutes when Barca could not score once in 180 minutes...
Yours Sincerely
Lionel Messi

8c5adacbd9ad8e230b7e2be929e31d00.jpg
 
Thiago Alcantara na Alex Sanchez wanatakiwa warudishwe catalan tuunde kikosi cha kuchukua UEFA kabisa mapema....!!hawa madridasta wamekera sana
Bayern hawamuuzi Thiago,Rosell na Batromeu walichemsha kumuuza.Sanchez hawezi kuja kukaa benchi
 
Nyie mnaosema Barca wanazeeka focus zenu ni za kijinga Barca wana young players wengi ambao wametolewa kwa mkopo(lamasia products) na wengine Louis Enrique alikua hawatumii

Mkuu we ndio umesema Real Madrid ewamezeeka
 
Ningekua mimi ni Velverde ningehitaji wachezaji wa Barca wakatishe likizo zao ziwe siku 20 tu ,then nawaingiza camp yakujenga pumzi ,techniques individual na team na tactics original kabisa za tik tacka
mkuu waache jamaa wakale bata Ibiza. tulipokosea tunapajua. tukirudi na MF, RB na RW wa maana hizi timu zinazorukaruka na kukimbiakimbia hazitatukamata kabisa. tungeana na Semedo kwenye RB. Hector anaspidi lakini hana skills za kuchezea mpira na kudribble. tunarekebisha ishu ndogo na kurudi ontop.
 
bila experiment za lucho tulikuwa tuna nafasi kubwa kuingia fainali kuwapiga wale mbwa na kuchukua matatu tena....poor lucho
 
bila experiment za lucho tulikuwa tuna nafasi kubwa kuingia fainali kuwapiga wale mbwa na kuchukua matatu tena....poor lucho
Ametuzingua sana. Japo mafanikio binafsi kapat. UCL moja. La liga 2. CDR 3 na supercup 3. vikombe 9 kati ya 13 alivyoshindania. Majirani wamegombania hivyo vinne vilivyobaki.
 
Ametuzingua sana. Japo mafanikio binafsi kapat. UCL moja. La liga 2. CDR 3 na supercup 3. vikombe 9 kati ya 13 alivyoshindania. Majirani wamegombania hivyo vinne vilivyobaki.

Jamaa katufanya tumekuwa na hasira yani kuna mechi za umuhimu anamuanzisha mathieus sijui alikuwa anatoa wapi viumbe wake wa ajabu
 
Jamaa katufanya tumekuwa na hasira yani kuna mechi za umuhimu anamuanzisha mathieus sijui alikuwa anatoa wapi viumbe wake wa ajabu
Kama ile mechi ya kwanza na juve. Kamuanzisha Mathieu amkabe Cuadrado! Cuadrado mwenye spidi. Eti alitegemea Mascherano amkabe Chiellini mpira wa kichwa! Ndiyo aliyefanya tuonekane kituko msimu huu. Am glad ameenda.
 
watuletee verrati pale kati hiyo ndio itakuwa dawa ya mabishoo
Akija man Verrati hizi timu mbovu zinazokimbiakimbia zitahenya sana. Natamani tuvunje kibubu tumpate Verrati, Semedo na Dembele. CB tunamuongeza Mina January.
 
Back
Top Bottom