FineForever
JF-Expert Member
- Apr 12, 2017
- 1,777
- 2,356
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wamepost wapi?
Kuna post huyo mwana aliandika hapo nyuma akimuelezea dembele, kuna mahali akasema alitoka Marseille kabla ya kuja dortmund ndio nikamsahihisha kwamba alitoka Rennes na sio Marseille
OK...Kuna post huyo mwana aliandika hapo nyuma akimuelezea dembele, kuna mahali akasema alitoka Marseille kabla ya kuja dortmund ndio nikamsahihisha kwamba alitoka Rennes na sio Marseille
Poa mkuu
Tetesi za leo
Coutinho amegoma ku train na Liverpool ili kuharakisha transfer yake na preparation zakuelekea FCB
Yeri Mina -sources nyingi za Columbia zimeripoti tayari Barcelona wameshaingia contract naye bado kutambulishwa tu ,vilevile legend wa Barcelona Xavi hakuacha kumsifia kuwa "Yeri ana DNA ya Barcelona na anaweza aka fit kwenye dimba namba yoyote ya katikati"
Kubusu Dembele amewagomea Dortmond hata kufanya mazoezi kwa sababu ni kinyume na makubaliano yao kuwa ataichezea Dortmund ila akihitajiwa na team kubwa yoyote atauzwa
Lakini utata Madrid inasemekana wametoa ofa kubwa zaidi ya Barcelona (double cross) ili kumnasa playmaker huyo
Paulinho in da house....Huu usajili wa Paulinho ndo siulewi kabisa! Inamaana wamekwama kabisa mpaka wanatuletea huyu babu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu usajili wa Paulinho ndo siulewi kabisa! Inamaana wamekwama kabisa mpaka wanatuletea huyu babu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanini sasa huyo, ingawa pia simujui kimpira yukoje...but ni Mzee ana 29 kama sikosei, atakaa misimu mingapi...na kuuzwa sh. Ngapi???