Gwamahala
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 3,925
- 2,325
How?Mbona banyambala tupo mkuu?Wazee sasa Yanga na Simba, na Tukuyu stars vipi mbona hamuwi wazalendo jamani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
How?Mbona banyambala tupo mkuu?Wazee sasa Yanga na Simba, na Tukuyu stars vipi mbona hamuwi wazalendo jamani?
hii iko mwake mwake,tushindwe sie tu sasa
sipati picha fabregas akiingia,kweli barca noumer!!
still celebrating
Dili imekamilika mkuu, anakwenda cliniki kesho kupimwa afya, na j3 atatambulishwa kwa team mates wake kabla ya kusaini mkataba wa miaka 5. Sasa tutakuwa na kikosi kipana kidogo. Issue ya Cesc inahitaji respect ya hali ya juu kwa timu yake sababu bado ana mkataba nao wa muda mrefu, ni suala la muda tu kabla ya kijana kurejea home.
tusubiri tu nafikiri itskuwa mwakeVipi wakuu mnavyoona na fabr hatatua kweli?
poa mkubwa.tusubiri tu nafikiri itskuwa mwake
Naona fabregas analitamani kusugua benchi la barca. Tunamtakia mema.official barcelona wameshamsaini alexis sanchez winga raia wa chile kutoka udinese sasa kazi wanayo wapinzani huyu dogo ni noma .tunasubiri kukamilisha transfer ya season ya cesc fabregass hopeful this wikiend tutamaliza....
Benchi Cesc Fabregas Soler hakai,Sergio Busquets Burgos atamaliza mkoba na Gerard Pique Bernabeu,Carles Puyol Saforcada anaelekea kustaafu hatocheza mechi nyingiNaona fabregas analitamani kusugua benchi la barca. Tunamtakia mema.
Benchi Cesc Fabregas Soler hakai,Sergio Busquets Burgos atamaliza mkoba na Gerard Pique Bernabeu,Carles Puyol Saforcada anaelekea kustaafu hatocheza mechi nyingi
Kaka biskuti mbona mechi kibao anacheza beki,yule kiraka,huyo puyol alikuwa beki 2 kabadilishwa sasa ndio beki wa kati,cesc muhimu sio rahisi kama nyie mnavyofikiria kukaa benchi barca,pique alikuwa benchi man utd lakin barca muhimu,wachezaji wa spain hawawezi kuozea benchi,ingekuwa raia mwingine sawa,puyol sasa hivi sio sana,na ndio maana wanahimiza cesc arudi xavi hernandez creus anarudi 6 cesc 8,iniesta kama 10,usichukulie eg za kina hleb,petit,henry,masscherano wale sio waspain kakaMkuu, haiingii akilini bado kwamba Bus atacheza sentahafu ili kumpisha Cesc! Cesc si DM ni AM so akapiganie namba kule mbele na kaka zake XAVINIESTA na pia akapambane na Thiago kupata starter.
Puyol atastaafu miaka mitatu hadi minne ijayo labda kama Pep si kocha, na atakuwa bench iwapo tu ataendelea kusumbuliwa na majeruhi, so wa kuziba nafasi yake ni Masch, Eric au Fontas maana ameonesha uwezo pia.
So kwa kuanzia kama Cesc atatua Barca, atasugua bench for sometimes mpaka hapo atakapokuwa tayari.