Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa Diaro sport ni moja wapo ya wale waliotulisha matango pori kipindi chote cha usajili na kweli tuliyala....Barcelona give up on signing Philippe Coutinho this summer (Diario Sport)
8 minutes ago / StanLee
Barcelona have given up on signing Liverpool midfielder Philippe Coutinho this summer, according to Catalan media Diario Sport.
Sent using Jamii Forums mobile app
Klopp Kasimamia kucha sijui nae anafikiria kwa kutumia nini???hivi yule klopp mzima kweli hivi unaweza kukaa na mwanamke ambae anakwambia nipe talaka halafu unangangania kama umemzaa wewe coutinho na familia yake watakuwa wanamchukia sana yule kenge
Leo alfajiri kafunga goli akawa very emotional, for real Cot anaipenda Barca sana
Kwahiyo na yeye aliyekubali kuolewa kwa ndoa ya miaka mitano hakujua kuwa mume wake hakuwa anafaa pambaneni n hali yenu ya kina Gomez.....hivi yule klopp mzima kweli hivi unaweza kukaa na mwanamke ambae anakwambia nipe talaka halafu unangangania kama umemzaa wewe coutinho na familia yake watakuwa wanamchukia sana yule kenge
Klopp sio wa kuchukiwa mnapaswa muwachukie FCB kwenye mkataba wa Neymar kwa kuweka release clause mkifikiri hakuna wanaume wa kuuvunja mkatabahivi yule klopp mzima kweli hivi unaweza kukaa na mwanamke ambae anakwambia nipe talaka halafu unangangania kama umemzaa wewe coutinho na familia yake watakuwa wanamchukia sana yule kenge
Sasa na wewe nae Ni mpuuzi yaani hata huwezi kuona kuwa tinho hakuwai kuwaza kama barca wangemuitaji sasa ulitaka alipoletewa mkataba angeukataa bila uhakika wa timu yoyote inayommendea na kama alikubali si anaweza kuuvunja kwa pesa na interest sasa sijui unahoji nini..?Kwahiyo na yeye aliyekubali kuolewa kwa ndoa ya miaka mitano hakujua kuwa mume wake hakuwa anafaa pambaneni n hali yenu ya kina Gomez.....
Sent using Jamii Forums mobile app