FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

We are announcing today that head of football Raul Sanllehi is leaving the club and Vinai Venkatesham, our current managing director, will lead us going forward.


Arsenal club statement
 
1597490161469.jpg
 
Tukiachana na kipigo cha jana. Barcelona atalazimika kuwalipa livapool paund million 5 kama beryern muchen itashinda kombe la UEFA CHAMPIONS...... kwa sababu ya kumuuza FELLIPE COUTINHO kwa mkopo kwenda Beryern Munchen


Yaan BARCA wanamajonzi sijapata kuona
May be liva wanaweza kuwaone huruma kwa kipigo cha mbwa koko walicho pokea.
 
Shukran kubwa kwa xavi,iniesta. Messi hakua na kazi kubwa walipokuwepo hao miamba. Anyway ucaptain haumfai Messi
Messi kubebwa! Nadhani kinyume chake ndo sahihi. Tumefungwa, tumekuwa humiliated ila tuwe wakweli Messi ndo mbeba timu
 
Back
Top Bottom