kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,695
- 20,633
Who is she?OFFICIAL: Raul Sanllehi has left Arsenal.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Who is she?OFFICIAL: Raul Sanllehi has left Arsenal.
[emoji26][emoji26][emoji28]Kinacho endelea wote mnataka mcheze mpira na ndio sababu mnakula hizi bao. Nahisi kipindi cha pili mtarudi na approach tofauti sasa sijui na wao Bayern watarudije. Ila kama mtaendelea kucheza hivi nahisi goli zitafika 7-9
Mkuu niliwaambia mapema hawa wakajifanya kuziba masikioHahah Babu mawe ulitisha
Omar bin makunganya wa kilwa alijaribu lakn akaishia kunyongwa kwa fedheha hawa jamaa sio watu
May be liva wanaweza kuwaone huruma kwa kipigo cha mbwa koko walicho pokea.Tukiachana na kipigo cha jana. Barcelona atalazimika kuwalipa livapool paund million 5 kama beryern muchen itashinda kombe la UEFA CHAMPIONS...... kwa sababu ya kumuuza FELLIPE COUTINHO kwa mkopo kwenda Beryern Munchen
Yaan BARCA wanamajonzi sijapata kuona
Wamchukue gadiola au mtake risk kwa xaviBarcelona have decided to sack Quique Setién. [@FabrizioRomano] https://t.co/BlHaBEbbpAView attachment 1538166
Messi kubebwa! Nadhani kinyume chake ndo sahihi. Tumefungwa, tumekuwa humiliated ila tuwe wakweli Messi ndo mbeba timuMessi kwisha habari yake ,waliokua wanambeba wameshastaafu
Kuna wakati walikuwa wanasema Messi ni mtu kutoka sayari nyingine, najiuliza hiyo sayari aliyotokea bado ipo au ilipigwa na kimondo ikasambaratika?!Messi kubebwa! Nadhani kinyume chake ndo sahihi. Tumefungwa, tumekuwa humiliated ila tuwe wakweli Messi ndo mbeba timu
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji16]Nawakumbusha tu tarehe ya leoView attachment 1537908
Messi kubebwa! Nadhani kinyume chake ndo sahihi. Tumefungwa, tumekuwa humiliated ila tuwe wakweli Messi ndo mbeba timu
Pep kumtoa city sio rahisi kama una nunua malayaWamchukue gadiola au mtake risk kwa xavi