Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WoyoooooYaani kwamba hivi Xavi (Xavier) ni "genius" ndani (akiwa mchezaji) na nje ya uwanja (akiwa kocha). Ameibadirisha timu kwa kiwango cha hali ya juu sana. Kila mchezaji amekuwa Bora muno kuanzia beki zote, midfielders na washambuliaji pia. Jana Madrid walikuwa wanazurura tu hawaelewi nini cha kufanya. Pigiwa pass kama zote alafu rula na sambusa tupu (pure tik-taka na rondo) kama enzi zetu zile za kina Inesta na Xavi. Timu za ulaya zijiandae tunaenda kuwa na Barca ambayo ni tishio ulaya na Dunia nzima. i.e yaani kama ile iliyomfanya Ferguson ashikwe na kiharusi nakushindwa kutafuna bigiji ktk ile fainal ya Uefa .... Kifupi timu yetu inatisha Sana kwa sasa...
Madrid ana aslimia kama zote za kuchukua ila ahakikishe anashinda game zote zilizobakia ... kifupi tukutane msimu ujao...
Mapema sana hii, huwez ukatamka maneno kama hayo kwa kuangalia tumechi tuwili tatu subir ligi iishe ndio unene hayo maneno so far jana Barca waliwazid sana MadridYaani kwamba hivi Xavi (Xavier) ni "genius" ndani (akiwa mchezaji) na nje ya uwanja (akiwa kocha). Ameibadirisha timu kwa kiwango cha hali ya juu sana. Kila mchezaji amekuwa Bora muno kuanzia beki zote, midfielders na washambuliaji pia. Jana Madrid walikuwa wanazurura tu hawaelewi nini cha kufanya. Pigiwa pass kama zote alafu rula na sambusa tupu (pure tik-taka na rondo) kama enzi zetu zile za kina Inesta na Xavi. Timu za ulaya zijiandae tunaenda kuwa na Barca ambayo ni tishio ulaya na Dunia nzima. i.e yaani kama ile iliyomfanya Ferguson ashikwe na kiharusi nakushindwa kutafuna bigiji ktk ile fainal ya Uefa .... Kifupi timu yetu inatisha Sana kwa sasa...
Gazetti la El Mundo linadai kwamba wataalam wa soka walishasema Tiki taka imepitwa na wakati-ajabu ni kwamba Xavi ameirudisha to a devastating effect- Gazetti limeendelea kudai Tiki taka kwa sasa inachezwa na back na midfielders wa Barca tu sasa punde Tikitaka ikifika kwa strikers itakuwa taabu maana watakuwa wanaingia na mpira ndani ya goalYaani kwamba hivi Xavi (Xavier) ni "genius" ndani (akiwa mchezaji) na nje ya uwanja (akiwa kocha). Ameibadirisha timu kwa kiwango cha hali ya juu sana. Kila mchezaji amekuwa Bora muno kuanzia beki zote, midfielders na washambuliaji pia. Jana Madrid walikuwa wanazurura tu hawaelewi nini cha kufanya. Pigiwa pass kama zote alafu rula na sambusa tupu (pure tik-taka na rondo) kama enzi zetu zile za kina Inesta na Xavi. Timu za ulaya zijiandae tunaenda kuwa na Barca ambayo ni tishio ulaya na Dunia nzima. i.e yaani kama ile iliyomfanya Ferguson ashikwe na kiharusi nakushindwa kutafuna bigiji ktk ile fainal ya Uefa .... Kifupi timu yetu inatisha Sana kwa sasa
Anakuja kuchukua nafasi ya naniView attachment 2160157
Anakuja kuchukua nafasi ya naniView attachment 2160157
Barca wanakwambia hivi kama itawabidi kuuza wachezaji watauza lakini La masia graduate hawauzwi."they are the future for the club".Ndo maana kina Traore wanarudi mpaka Alcantra walikuwa wanamtaka.Dogo ansu fati anarudi mazoezini ila kwa staili ya uchezaji wake yeye na mephis sioni kama watakuwa na maisha marefu chini ya XAvi
Ansu hata akiwa sawa leo anaanza first 11 regardless ya kwamba anacheza vipiDogo ansu fati anarudi mazoezini ila kwa staili ya uchezaji wake yeye na mephis sioni kama watakuwa na maisha marefu chini ya XAvi
Braithwate, Luuk de Jong, Sergi Roberto, Umtiti, Clement Lenglet, na hata Depay. We need to balance the books, and money for one prolific striker!Tukatae/tukubali Barca kuna clear out kubwa inakuja-Laporte hataki kufanya kosa
Wauze wote ila wasifanye makosa kuwauza hao watoto walitoka lamasiaTukatae/tukubali Barca kuna clear out kubwa inakuja-Laporte hataki kufanya kosa
Hao wengine sawa ila kwa Depay No.Braithwate, Luuk de Jong, Sergi Roberto, Umtiti, Clement Lenglet, na hata Depay. We need to balance the books, and money for one prolific striker!