FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Yaani kwamba hivi Xavi (Xavier) ni "genius" ndani (akiwa mchezaji) na nje ya uwanja (akiwa kocha). Ameibadirisha timu kwa kiwango cha hali ya juu sana. Kila mchezaji amekuwa Bora muno kuanzia beki zote, midfielders na washambuliaji pia. Jana Madrid walikuwa wanazurura tu hawaelewi nini cha kufanya. Pigiwa pass kama zote alafu rula na sambusa tupu (pure tik-taka na rondo) kama enzi zetu zile za kina Inesta na Xavi. Timu za ulaya zijiandae tunaenda kuwa na Barca ambayo ni tishio ulaya na Dunia nzima. i.e yaani kama ile iliyomfanya Ferguson ashikwe na kiharusi nakushindwa kutafuna bigiji ktk ile fainal ya Uefa .... Kifupi timu yetu inatisha Sana kwa sasa...
Woyooooo
 
Mapema sana hii, huwez ukatamka maneno kama hayo kwa kuangalia tumechi tuwili tatu subir ligi iishe ndio unene hayo maneno so far jana Barca waliwazid sana Madrid
 
Yaani kwamba hivi Xavi (Xavier) ni "genius" ndani (akiwa mchezaji) na nje ya uwanja (akiwa kocha). Ameibadirisha timu kwa kiwango cha hali ya juu sana. Kila mchezaji amekuwa Bora muno kuanzia beki zote, midfielders na washambuliaji pia. Jana Madrid walikuwa wanazurura tu hawaelewi nini cha kufanya. Pigiwa pass kama zote alafu rula na sambusa tupu (pure tik-taka na rondo) kama enzi zetu zile za kina Inesta na Xavi. Timu za ulaya zijiandae tunaenda kuwa na Barca ambayo ni tishio ulaya na Dunia nzima. i.e yaani kama ile iliyomfanya Ferguson ashikwe na kiharusi nakushindwa kutafuna bigiji ktk ile fainal ya Uefa .... Kifupi timu yetu inatisha Sana kwa sasa
Gazetti la El Mundo linadai kwamba wataalam wa soka walishasema Tiki taka imepitwa na wakati-ajabu ni kwamba Xavi ameirudisha to a devastating effect- Gazetti limeendelea kudai Tiki taka kwa sasa inachezwa na back na midfielders wa Barca tu sasa punde Tikitaka ikifika kwa strikers itakuwa taabu maana watakuwa wanaingia na mpira ndani ya goal
 
Anakuja kuchukua nafasi ya nani
IMG_20220322_103139_300.jpg
 
Leo saa 5 usiku sa ya Tanzania-inachezwa match ya Classico ya wanawake kombe la UEFA.Barcelona females watakuwa ugenini.Madrid females hawategemei kushinda sababu akina dada WA Barcelona hawajafungwa match 34.
Barca TV leo imemuonyesha Traore akipewa darasa maalum na Xavi-wakitumia stimulator ameelekezwa jinsi anavyoweza kuwa occupy defenders wawili so that other strikers are free-positioning yake ni muhimu ili maestro Busquets aweze kuspray mipira kulia kama anavyofanya kushoto
 
Dogo ansu fati anarudi mazoezini ila kwa staili ya uchezaji wake yeye na mephis sioni kama watakuwa na maisha marefu chini ya XAvi
 
Dogo ansu fati anarudi mazoezini ila kwa staili ya uchezaji wake yeye na mephis sioni kama watakuwa na maisha marefu chini ya XAvi
Barca wanakwambia hivi kama itawabidi kuuza wachezaji watauza lakini La masia graduate hawauzwi."they are the future for the club".Ndo maana kina Traore wanarudi mpaka Alcantra walikuwa wanamtaka.
 
Uzuri wa Ansu when full fit anatupia.

Mtashangaa mechi yake ya kwanza tu baada ya majeruhi lazima atupie.
 
Back
Top Bottom